Ahsante sana kwa Maelezo mazuri.Kama mtu hajui jambo ni bora kutojibu.
1. Kwanza kabisa Zanzibar kuna maeneo mawili ambayo ni Mjini na Shamba (vijijini)
Sasa hapo mjini Hotel zipo lkn sio kwa ajili ya watu waliokuja ku relax sana.
Hotel zilizoko shamba zina Beach nzuri na ni expensive kidogo,
Lakini hata kwa dollar 100 per night unapata 4* hotel na utalala kama kawaida.
Kama unakuja kikazi kaa stonetown na Kama unakuja holiday kaa shamba Nungwi, uroa, paje,n.k
Hizo gharama ni hadi kwa maisha ya Kila siku ya wakazi!?yani maji wananunua bei hizo au ni kwa wageni!?Kama kituo cha research ni Paje basi unaweza kukaa anywhere between Jambiani, Paje au Michamvi; wewe tu na convinience yako. Hata ukitaka kukaa town ni sawa pia maana Town hadi Paje ni mwendo wa saa moja tu na nauli ya daladala ni Tsh 2,100 tu.
Usafiri Dar - Zanzibar Tsh 30,000 economy class, Tsh 35,000 business, Tsh 50,000 hadi Tsh 60,000 VIP na Tsh 80,000 hadi Tsh 100,000 kwa Royal Class. Usafiri ndani ya Zenji ni daladala Tsh 500 kwa ndani ya Paje; Tsh 2,100 Paje hadi mjini (Stone Town) na Tsh 50,000 hadi Tsh 70,000 kwa Tax.
Bei za vyakula hotelini hutofautiana kati ya hoteli na hoteli so range ni kati ya Tsh 18,000 hadi Tsh 30,000 kwa vyakula vyetu common kama samaki, kuku, nyama + chipsi, wali, ugali au tambi. Migahawa ya kawaida ipo pia, Tsh 12,000 hadi Tsh 18,000. Sea food ndo bei juu kiasi, Tsh 35,000 hadi Tsh 85,000. Ukiamua kujilipua kwa mama ntilie wapo pia chipsi Tsh 2000 - 3000; wali Tsh 2500 na kadhalika. Uzuri wa Zanzibar ni kwamba matibabu ni bure kwenye hospitali zote za serikali kuanzia kumuona daktari, vipimo hadi dawa.
Juice fresh Tsh 3,000 hadi Tsh 8,000; maji Tsh 2,000 hadi Tsh 4,000; Soda Tsh 2,000 hadi Tsh 3,000; local beers Tsh 5,000 hadi Tsh 8,000; pombe kali Tsh 12,000 hadi Tsh 2,000,000.
Kama sio mlevi mkubwa unapata chakula + kinywaji kwa Tsh 20,000 - Tsh 35,000 safi kabisa.
Welcome to Zanzibar....... Choose us afyazaidi@gmail.com for your full logistics solutions!
Safi sanaKama kituo cha research ni Paje basi unaweza kukaa anywhere between Jambiani, Paje au Michamvi; wewe tu na convinience yako. Hata ukitaka kukaa town ni sawa pia maana Town hadi Paje ni mwendo wa saa moja tu na nauli ya daladala ni Tsh 2,100 tu.
Usafiri Dar - Zanzibar Tsh 30,000 economy class, Tsh 35,000 business, Tsh 50,000 hadi Tsh 60,000 VIP na Tsh 80,000 hadi Tsh 100,000 kwa Royal Class. Usafiri ndani ya Zenji ni daladala Tsh 500 kwa ndani ya Paje; Tsh 2,100 Paje hadi mjini (Stone Town) na Tsh 50,000 hadi Tsh 70,000 kwa Tax.
Bei za vyakula hotelini hutofautiana kati ya hoteli na hoteli so range ni kati ya Tsh 18,000 hadi Tsh 30,000 kwa vyakula vyetu common kama samaki, kuku, nyama + chipsi, wali, ugali au tambi. Migahawa ya kawaida ipo pia, Tsh 12,000 hadi Tsh 18,000. Sea food ndo bei juu kiasi, Tsh 35,000 hadi Tsh 85,000. Ukiamua kujilipua kwa mama ntilie wapo pia chipsi Tsh 2000 - 3000; wali Tsh 2500 na kadhalika. Uzuri wa Zanzibar ni kwamba matibabu ni bure kwenye hospitali zote za serikali kuanzia kumuona daktari, vipimo hadi dawa.
Juice fresh Tsh 3,000 hadi Tsh 8,000; maji Tsh 2,000 hadi Tsh 4,000; Soda Tsh 2,000 hadi Tsh 3,000; local beers Tsh 5,000 hadi Tsh 8,000; pombe kali Tsh 12,000 hadi Tsh 2,000,000.
Kama sio mlevi mkubwa unapata chakula + kinywaji kwa Tsh 20,000 - Tsh 35,000 safi kabisa.
Welcome to Zanzibar....... Choose us afyazaidi@gmail.com for your full logistics solutions!
Wakaz wengi wa zanzibar hawanunui maji huchota bure,chakula pia kwa mamantilie ni 2000,chips2000 sijui anazungumzia maji gan labda kwa watalii mi nimeishi bwejuu,unaweza panga chumba kwa 40000×3 ndo kawaida yaoHizo gharama ni hadi kwa maisha ya Kila siku ya wakazi!?yani maji wananunua bei hizo au ni kwa wageni!?
Ulivyo uliza operating cost nikajua unataka kufanta hiyo biashara😂 kumbe unatafuta accomodation😂 au bado sijakuelewa?Ahsante sana kwa Maelezo mazuri.
Location ni Paje Maana kuna ka research kanahusiana na sehemu hiyo
Kwa hiyo name unataka akanywe maji kwenye Bomba kama nyie?Wakaz wengi wa zanzibar hawanunui maji huchota bure,chakula pia kwa mamantilie ni 2000,chips2000 sijui anazungumzia maji gan labda kwa watalii mi nimeishi bwejuu,unaweza panga chumba kwa 40000×3 ndo kawaida yao
Ulivyo uliza operating cost nikajua unataka kufanta hiyo biashara😂 kumbe unatafuta accomodation😂 au bado sijakuelewa?
Kama kituo cha research ni Paje basi unaweza kukaa anywhere between Jambiani, Paje au Michamvi; wewe tu na convinience yako. Hata ukitaka kukaa town ni sawa pia maana Town hadi Paje ni mwendo wa saa moja tu na nauli ya daladala ni Tsh 2,100 tu.