Kama unafahamu tiba ya asili ya gonjwa lolote soma hapa.

Kama unafahamu tiba ya asili ya gonjwa lolote soma hapa.

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Heshima zenu wakuu lengo langu langu la kuanzisha huu uzi ni kuku sanya tiba mbadala za magonjwa mbalimbali .Kama unafahamu gongwa lolote na tiba yake ya asili karibu utueleze ili baadae kila ugonjwa tujue tiba yake.Mimi naelezea tiba za asili za magonjwa nayo yafahamu kama ifuatavyo.
 
Majani ya mbaazi Ni tiba nzuri ya maumivu ya koo.Kama kuna muwashomuwasho kooni ukitafuna majani ya mbaazi matatu hivi utapona haya maumivu.
 
Pitia Nyuzi za JF doctor, ujikusanyie data, kuna tiba za asili nyingi sana humo zimeshaelezewa.
 
Back
Top Bottom