Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini.
Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje.
Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha kumbe umewarudishia wenyewe bila kujua.
Ndugu usipokee cash kwa zaidi ya 5m, mwambie akuwekee bank akupe risiti.
Kuna mzee last month kauza kaplot kake sinza pale akapewa 100m cash kwenye maboksi sasa hv haelewi hela imeishaje na ni mwezi tu umepita just imagine.
Please pitisha hio hela bank ikachanganyike na zingine majini yapotelee huko