Kama unafanya biashara au deals Dar zenye thamani ya kuanzia milioni 5 kwa move moja basi usipokee cash, tumia bank au cheque

Kama unafanya biashara au deals Dar zenye thamani ya kuanzia milioni 5 kwa move moja basi usipokee cash, tumia bank au cheque

Hakuna kitu kama hicho chuma ulete majini ni wewe mwenyewe una NIDHAMU ya pesa
Na tatizo kuu ni kuamini kesho itakuja tena kutokana na kuwa umeipata kirahisi
Na mara nyingi inakuwaga pesa za dhurma za deal chafu

Kuna kauri elon musk anapenda kuitunia kuwa
Kuna watu ni masikini ila wanakuwa wamepata ela nyingi kwa wakati mmoja bila kutegemea so haichukui muda wataendelea kuwa masikini na pesa zitarudi kwa matajiri halisi
Hii kauri nakubaliana nayo 7bu mtu katika miaka 30 aliyoishi ajawahi kupata hata milioni 1 yake halali katika Halakati zake za utafutaji au saving
Suddenly wanauza nyumba ya urithi wanagawana 50mln au 100mln
Unadhani huyu ni tajiri NO ni masikini aliyeoata ela nyingi kwa wakati mmojana mpe muda hiyo pesa itaondoka muda si mwingi itarudi kwa wenyewe ndo mana walouza nyumba za urith katika ya jiji watafute baada mwaka au miaka miwili Hawana kitu zaidi kuishi katika nyumba zao zisizoisha huko CHANIKA na mbagala

Sawa tu na madalali anapiga deal leo milioni 2 badala aizarishe kwa kuwekeza ili baadae awe na property zake auze mwenyewe au awe analenga yeye anatumia hovyo pesa kwa kuamini kesho itakuja deal kali zaidi atapata ndio mana madalali kwa kuloga Hawajambo kutokana na mindset za kipuuzi dizaini unavyowza wewe
 
Back
Top Bottom