Kuwa serious na uache upuuziUnabeti,
Unakunywa pombe,
Unapenda malaya.
Hao ndio chuma ulete wakuu.
Unakatwa unajua maana ya uraibu we kima?Kuwa serious na uache upuuzi
100m hata kama unahonga laki laki itaishaje ndani ya mwezi?
Au na ww ni mmoja wa wanaoingiza pesa za kiganga na za majini upo hapa kujitetea?
Mbona umekuwa mkali.Unakatwa unajua maana ya uraibu we kima?
Me nilitumiwa laki tisa kwa tigo pesa tarehe 02, hadi leo nna laki tu, ela ikiwa kwenye simu kuonga simple kwelikweli,unahisi kama unatuma namba tu sio pesa, nikienda kwenye outing nalipa kwa Lipa number, week end hii nimetuna kaunta mwendo wakulipa kwa LIPA NAMBA tu,Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini.
Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje.
Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha kumbe umewarudishia wenyewe bila kujua.
Ndugu usipokee cash kwa zaidi ya 5m, mwambie akuwekee bank akupe risiti.
Kuna mzee last month kauza kaplot kake sinza pale akapewa 100m cash kwenye maboksi sasa hv haelewi hela imeishaje na ni mwezi tu umepita just imagine.
Please pitisha hio hela bank ikachanganyike na zingine majini yapotelee huko
Inaisha mkuu,we ujawai kushika pesa nadhaniKuwa serious na uache upuuzi
100m hata kama unahonga laki laki itaishaje ndani ya mwezi?
Au na ww ni mmoja wa wanaoingiza pesa za kiganga na za majini upo hapa kujitetea?
🤣Forex