Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Uko sahihi. Vuta hata paketi moja au mbili kila siku. Maisha mafupi sana haya kamanda na ni afadhali kupata kile roho inapenda. Unaweza kuacha kuvuta sigara halafu ukaondoka na changamoto za kupumua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]navuta fegi tangu nna miaka 16 hadi leo hii zaidi ya miaka 11 navuta tu mkuu hakuna cha kansa wala kansas city ni porojo na kutishana tu.
nakula vyakula vya kawaida kabisa