Kama unahisi pesa ndiyo kila kitu fikiria hii couple

Kama unahisi pesa ndiyo kila kitu fikiria hii couple

ka-amani Mdogo wangu/mwanangu...
nilikusudia kusema kwamba" wanawake siku zote wana hela za nauli,mwanaume ukiombwa nauli jua jambo moja kwa hakika..........".
na kama hana kweli Kuna signs kuu 3 uwa zinaonyeshwa.
Bado sijakupata mkuu
 
Nimeijua couple hii nyuma kidogo ya Pendamic ya Corona. Juzi wakati nimerudi kwa huu Mtaa nilishangaa kuikuta iko vile vile na pale pale nilipoikuta kwa mara ya kwanza. Makazi yao yapo kwenye kona ya kiosk( requor store) ndogo hapa Mtaani.

ukiingia ama kutoka kwa hii KIOSIK kama unachochote cha ziada unaweza wapa.

Wakati wa Corona Pendamic Family na kampun zililia Subsidies kwa Govement lakini couple hii ilivuka hicho kipindi bila kumlilia yoyote.

Nilichojifunza ni kwamba mwanamke ambaye muda wote hana hela ya nauli,ni yule anayedate na boy hampendi.
wanawake wana pesa Sema wapo very calculative,uzitumia tu pale wanapokuwa na AFFECTION na Boy fulani.

Mwanamke akikuelewa Popote ama chochote mtakula na hakuna cha kuhudumiana.
Dhana ya mwili mmoja uthibitishwa na couple zenye taswila hii.

Kama unahisi pesa ndiyo kila kitu fikria hii couple.

NOTE; PICHA IMECHUKULIA KIWIZI WIZI,SIKUTAKA WAJUE KUWA NAWAPIGA PICHA

View attachment 3065731
Mleta uzi umelewa Mnazi au? hueleweki
 
Naona ni watu wazima ambao obviously soko walisha livuka .
 
Back
Top Bottom