Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #761
Zipo mkuu ,nyingi tuHuu mwaka lazima ninunue chuma ya bei ya wastani
Mkuu namba E zipo ?
We jamaa nakubaliana na wewe kwenye swala la bei, watu wanakupinga tu, yaani mwaka 2012 (mfano) mtu amenunua gari ya mwaka 2002 kwa sh 14m, akaitumia kwa miaka 10 kwenye njia zetu za goba nk, anataka kuiuza sasa ivi kwa shilingi 14m kisa kwenye yard zinauzwa hivyo????Hiyo gari sio ya mfanyabiashara ni ya Msela anaamua kuisukuma tu. Lazima watu waelewe dhana ya biashara bhana. Unawezaje kuuza gari kuu kuu hivyo kwa bei kubwa kiasi hiko?
Na mtu unawezaje kununua magari ya miaka 20 nyuma huko?? Teknolojia imebadilika sana. Vifaa vyake pia huwa adimu nk.
Gari kwa umasikini wetu usinunue iliyo zaidi ya miaka 12 nyuma. Yaan kwa sasa gari nunua ya 2010 kuja juu. Labda hiyo gari iwe Lori naweza kukushauri ununua za miaka hiyo nyuma huko, ila Basi, sijui Hiace, kosta nk nunua ya miaka 2010s kuja juu.
Bei hazitofautiani sana, na mbaya zaidi hizo za miaka ya nyumba zaidi kodi yake husogea pia.
2003 SUZUKI JIMNY
FIS FREE STYLE WORLD CUP LTD
Engine Size cc650
Drive 4wd OPTION
Color Silver
Steering Right
Transmission Automatic
Fuel Petrol
Seats 5
Doors 4
60,780km
OPTIONS
A/C | Airbag | Power Steering | Power Window | CD Player | Back Tire | ABS | AM/FM Radio | Jack | Wheel Spanner
PRICE=15.5M+USAJILI INATOA MARUNDO
[emoji593]GARI MLIMANI CITY
Contact:0658124554View attachment 2398811View attachment 2398812View attachment 2398813View attachment 2398815View attachment 2398816
Mnyama yupo na mazungumzo yapo piaHuyu Mnyama Kuna mazungumzo Boss au Bei imesimama haipungui hata0.5mm kama tozo? Bado yupo?
2013Ya mwaka gani mkuu