Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa ya mwaka 2005/6Suzuki escudo inakwenda kwa sh ngapi?
Nahitaji nissan patrol super safari. Inapatikana Kwa bei gani isiwe ni chini ya 2017 manufacturersHabari za masiku wakuu? Natumai nyote mpo salama, kwa wale waliotangulia mbele za haki tuwaombee kwa Mungu awaweke pema,na wale wagonjwa Mungu awape ponyo.
Tulipoteana kitambo kirefu kidogo baada ya uzi wetu pendwa wa “Wapenzi Wa Magari Mazuri” kupata misukosuko , kabla ya uzi wetu kupotea tulifanikiwa kutengeneza jamii kubwa sana na ndani ya hiyo jamii nilipata marafiki ambao nipo nao karibu mno kama ndugu zangu wa damu.
Sio vibaya kuanza moja , vibaya ni kukata tamaa, sijakata tamaa wakuu na sijawaacha, nitawapostia kazi nzuri zaidi,tutafanya kazi kwa uaminifu na tutafanya kila linalowezekana kukidhii mahitaji yako.
Usiache kupitia huu uzi nakuhakikishia gari ya ndoto yako ipo humu, kama usipoiona kwenye huu uzi mawasiliano yangu ni 0658124554 napatikana pia WhatsApp kwa namba hiyo hiyo nitafute uniambie ni gari gani unahitaji.
Hiyo sina mkuu kwenye stock yanguNahitaji nissan patrol super safari. Inapatikana Kwa bei gani isiwe ni chini ya 2017 manufacturers
hz ni mtu katumia kwanza ndo akaweka sokoni au zime import wa kutoka nje.Toyota Vanguard
Model Year:2009
Engine capacity:2360
Mileage:58764km
Bei: Milioni 26
Mawasiliano:0658124554View attachment 2110209View attachment 2110210View attachment 2110211View attachment 2110212
Hiyo ni namba DU imetumika TZ kiasi kama cha mwaka mmojahz ni mtu katumia kwanza ndo akaweka sokoni au zime import wa kutoka nje.
Asante sanaKaribu sana