Kama unahitaji huduma yoyote kuhusu ujenzi au ushauri karibu

Kama unahitaji huduma yoyote kuhusu ujenzi au ushauri karibu

Joined
Aug 4, 2018
Posts
34
Reaction score
20
Habari

Kwa wale wenye viwanja lakini wanashindwa kuanza kujenga kwa kuhofu kuhusu gharama, au wanasikiliza maneno ya watu kuwa kujenga ni mpaka uwe na mil 100 nawapa trick za kuweza kumudu na angalau kuanza msingi wa nyumba.

1. Kila mwezi waweza anza kusave angalau hela kdgo kutoka kwenye mshahara wako kwa ajil ya ujenzi hata ikiwa laki au laki 2 ni bomba zaidi

2. Ikifika kahela kdgo kazuri kuanzia mil 2 usiiache huko[emoji2][emoji2][emoji2] maana shida nazo bhana , kama kiwanja chako kna usalama weka mawe pale , au mchanga, au hata tofali hizo zitadumu

3. Ukiona vitu na akiba kdgo uliyonayo vinaweza jenga msingi amua kuanza ujenzi

4. Ukishaamua kuanza ujenzi anza na kupata ramani yako safi na simple na nafuu

(+255624004650)

5.pata kibali cha ujenzi kama eneo lako lko sehem ambayo ni lazima uwe na kibali

6. Jenga msingi wako alafu tulia tuli anza tena kusave kwa ajili ya boma

7 hivp hvo baada ya 3au 4 yrs unahamia kwako

Kama unahitaji hudum yoyote kuhusu ujenzi /ushauri +255624004650 fair price
IMG_20181211_131640_944.jpeg
small%20g%2C%20insta.jpeg
IMG_20181209_174503_925.jpeg
IMG_20181125_154933_585.jpeg
Capture1.JPG
IMG_20181201_065451_052.jpeg
 
Tunaomba bei elekezi kwa ramani ya nyumba ya gharama nafuu, ramani ya kawaida sana, isiyo complicated, Kwa nyumba ya vyumba vitatu
- Master moja
- Vyumba viwili vya kulala.
- Sebure.
- Jiko
- Simple roofing ( Mgongo wa tembo)
Akikujibu unitag.

Maana hiyo ramani ndiyo kimbilio la vijana tunaoanza kujikwamua
 
Nyumba zako sio za mtanzania wa kawaida,hizo ni za watu wenye ukwasi wa ajabu,kama kina Mengi,Bakhresa etc sie wavuja jasho tutaziona kwenye movie.
Nimeuliza kwa niaba yangu. Utajuaje sasa huenda pia nina ukwasi au nataka nijiandae kisaiklojia
So inamaana hawa wanashughulika na nyumba za kawaida. Okay.
 
Back
Top Bottom