Habari
Kwa wale wenye viwanja lakini wanashindwa kuanza kujenga kwa kuhofu kuhusu gharama, au wanasikiliza maneno ya watu kuwa kujenga ni mpaka uwe na mil 100 nawapa trick za kuweza kumudu na angalau kuanza msingi wa nyumba.
1. Kila mwezi waweza anza kusave angalau hela kdgo kutoka kwenye mshahara wako kwa ajil ya ujenzi hata ikiwa laki au laki 2 ni bomba zaidi
2. Ikifika kahela kdgo kazuri kuanzia mil 2 usiiache huko[emoji2][emoji2][emoji2] maana shida nazo bhana , kama kiwanja chako kna usalama weka mawe pale , au mchanga, au hata tofali hizo zitadumu
3. Ukiona vitu na akiba kdgo uliyonayo vinaweza jenga msingi amua kuanza ujenzi
4. Ukishaamua kuanza ujenzi anza na kupata ramani yako safi na simple na nafuu
(+255624004650)
5.pata kibali cha ujenzi kama eneo lako lko sehem ambayo ni lazima uwe na kibali
6. Jenga msingi wako alafu tulia tuli anza tena kusave kwa ajili ya boma
7 hivp hvo baada ya 3au 4 yrs unahamia kwako
Kama unahitaji hudum yoyote kuhusu ujenzi /ushauri +255624004650 fair price