Sawa, ngoja nisubiri mwendelezo wa taarifa yako.Yeah iseach kama apk ila hapo utapata app tu ambayo haina chochote link mpaka nikupe mimi
naamini hiyo link hutoi bure na hizo channel zote za azam unazosema zipo kwenye hiyo link tunazilipia 28,000 kila mwezi..sasa hiyo link yako tunakulipa shilingi ngapi.? vp azam wenyewe hawawezi kukushtaki kwa kuwakosesha/kuchepusha mapato kwa ww binafsi kufaidika kupitia channel zao.!
Ndio tunakoelekeaNjaa hizi kwahiyo unataka uuze link