Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,644 Reaction score 1,648 Oct 16, 2014 #1 Kiwanja kipo kibaha picha ya ndege, km 1.5 kutoka barabara kuu, ukubwa ni 20*20m, bei ni tsh 3M, kwa mawasiliano 0656142433
Kiwanja kipo kibaha picha ya ndege, km 1.5 kutoka barabara kuu, ukubwa ni 20*20m, bei ni tsh 3M, kwa mawasiliano 0656142433
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,644 Reaction score 1,648 Oct 16, 2014 Thread starter #3 Mkuu hiyo ni offer, maana mm ndo muhusika sio dalali, ukipitia kwa dalali hawezi kukuanzia na bei hiyo! We nicheki tuzungumze!
Mkuu hiyo ni offer, maana mm ndo muhusika sio dalali, ukipitia kwa dalali hawezi kukuanzia na bei hiyo! We nicheki tuzungumze!
japhetmaginga Member Joined Oct 14, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Oct 16, 2014 #4 Daaaah sema nipo mbali xaaaana ngonyani nipo sumbawanga by nou nataka kiwanja kibaha mjini hapo
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,644 Reaction score 1,648 Oct 16, 2014 Thread starter #5 So, unaniambiaje mkuu Maginga! Nipo tayari kukusaidia unataka nikupe msaada gani kiongozi!?