Kama unahitaji kiwanja

Kama unahitaji kiwanja

Mkuu hiyo ni offer, maana mm ndo muhusika sio dalali, ukipitia kwa dalali hawezi kukuanzia na bei hiyo! We nicheki tuzungumze!
 
Daaaah sema nipo mbali xaaaana ngonyani nipo sumbawanga by nou nataka kiwanja kibaha mjini hapo
 
So, unaniambiaje mkuu Maginga! Nipo tayari kukusaidia unataka nikupe msaada gani kiongozi!?
 
Back
Top Bottom