Kwa wale wenye majukumu na hawana muda wa kwenda vituoni naweza kufuata majumbani na kuwafundisha.Masoma ni History,Geography na Civics ninauzoefu wa kusahihisha necta kwa miaka minne nitakupa njia nzuri za kufaulu nakaa maeneo ya Banana Uwanja wa ndege. Waliotayari yani PM