Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hv toroli moja yaweza kugharimu bei boss, wengine mitaji mpaka tu make mdogo mdogo
inategemeana na ukubwa wa toroli,material itayotumika,matairi utayoweka.

ukishajua hivyo vitu ndio utajua gharama ya toroli 1.
 
 
inategemeana na ukubwa wa toroli,material itayotumika,matairi utayoweka.

ukishajua hivyo vitu ndio utajua gharama ya toroli 1.
Poa Poa Kaka pia ukiona sehemu chimbo la kuchimba mchanga au vibarua vya ujenzi usisite kuniambia mm ni mpambanaji, hata hii ni mtu nimelog in kwa mda kwa hyo naweza nisiwe hewani kwa mda mpaka niivizie tena.
 
jangala, sometyme hawa mama ntilie wanapika kilo 5 za mchele na wali unalala, je kwny stuation kama hz utadai hyo buku jero?
na je kama kilo 5 tu znalala ni nan akubali kupokea laki yako akat anaona kabisa hata msosi wa 50k unasumbua kuisha
 
hapa nmekuelewa maana kuna chuo flan hv hapa karbu copy wanapiga sh 25 afu printing 100 sasa najiuliza wanapataje faida ,,,,lakm pia nmekumbka ktu,sku moja nshawahi enda kijj kmoja nkakuta printing ni 1000 asee nlishangaa@Tattoo,
 
Hapa nina printer 4 hp inkjet 1510 ndogo, desktop 4, hp laserjet p4015 dn, canon ir 1022A na Epson L382. Hilo laserjet linaprint/toa copy 500 in 10 minutes. Yaani ream moja inakata in ten minutes.

Picha naprint na Epson....laminating machine, ID cutter, binding materials kama velo na spiral

Huwa sikai sana ofisini. Wale mabint nimewapa full mandate hata wakinipiga poa tu....nawatreat fairly, nawalisha au kama sipo wanajinunulia chakula asubuhi na mchana. Nauli siwapi sababu hawatokei mbali....ni wa maeneo hayo hayo.
Unatumia vitendea kazi gani katika printing mkuu ya hizo picha, barua, passports, nk
 
We digidigi ni vitu gani unasambaza kila mahali , huku sio WhatsApp au FB
 
Uko wapi..nina jamaa anauza wino (ana import na ku refill hizo toner kwa bei rafiki mno mno mno ) ukitaka wino peke yake pia anakupa ujaze mwenyewe..incase ukihisi utahitaj nijuze nikupe mawasiliano yake
 
No man. Nafanya hii kazi mwaka wa 4 huu. Nina full connections za kila kitu hata machine zikizingua. Bora ungekuwa wewe mwenyewe....mtu tena mwingine a hell no. Thanks, anyway.
Uko wapi..nina jamaa anauza wino (ana import na ku refill hizo toner kwa bei rafiki mno mno mno ) ukitaka wino peke yake pia anakupa ujaze mwenyewe..incase ukihisi utahitaj nijuze nikupe mawasiliano yake
 
Nauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
Ukieleza zaidi, itapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…