Kama unaishi kwa shemeji yako, wewe ni mke mdogo

Kuna mambo mengine kwenye maisha watu hawachagui ILA maisha huwachagulia.

Mfano: kuna vijana wengi tu wakimaliza vyuo huhamia kwa ndugu zao kujitafuta; LAKINI ujue kuna familia kadhaa ambazo hazina mtoto wa kiume au hazina mtoto wa kiume mwenye uwezo wa kupokea ndugu (zinaishi maisha ya kuunga unga)...

Chaguo linalobaki ni kuhamia kwa dada zao; Kilicho wahamishia kwa dada na kilicho kuhamishia kwa kaka ndio hicho hicho....HAKUNA TOFAUTI...

Binafsi ukiniuliza mtazamo wangu; nitakujibu tu kama kijana yupo kwa Dada au kwa Kaka na amani ipo; aendelee kujitafuta!
 
N kweli ila sasa tufanyeje na hatuna mishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…