Kabiiiiiiisa lo
Mkuu Evidence Kidogo Tujiridhishe Kama kweli Na Wewe umetoboa?Umefanya kila aina ya kazi bado mambo magumu
Umefanya biashara kila aina bado hujatoboa
Ukaambiwa Kuna waganga wanatoa utajiri, umezunguka mpaka sent ya mwishoo umekata hamna kitu
Njoo pm nikupe mchongo wa fast huko kwingine utaendelea kupoteza pesa zako Ila shart uwe na million tatu na uwe tayari kujitoa muhanga
uwe umewahi fanya biashara au unandoto za biashara kubwa coz nitakupima Kwanza uwezo wako kwenye hizo biashara so naitaji mtu mmoja au wawili tu walio seriously
Pale anayedai anataka kukupa connection ya pesa nyingi anapotaka umlipe pesa ndogo ili akupe hiyo connection. Sasa sielewi kwanini hiyo connection asiifanye ikampa hiyo ela ndogo anayotaka.Wizi mtupu
Na mimi nimejiuliza hilo swaliPale anayedai anataka kukupa connection ya pesa nyingi anapotaka umlipi pesa ndogo ili akupe hiyo connection. Sasa sielewi kwanini hiyo connection asiifanye ikampa hiyo ela ndogo anayotaka.