Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.
Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.
Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?
Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.
Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.
Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika.
Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

how do you relate huo msemo na udikteta?kwani kuchagua chama ndio kuna guarantee kua utawala hautakua wa kidikteta?.....think critically then conclude intellectuallyAngalia mnavyoshindwa kujibu hoja, Hata mkiingia madarakani itakuwa hivyo hivyo ni swaga swaga tu.
Jamani vyama vinginew navionea huruma.
Nauliza tena "usichague chama , chagua mtu" Tutafsirie hata kikwenu.
Hapa ndipo udikiteta ulipolala. Kama utashindwa kujibu na kutuletea picha zisizo na mpango, tutaelewa kuwa MADIKITETA WAMEPIGA HODI.
Njaa kitu kibaya sana! Ni heri uwe masikini wa pesa kuliko kuwa masikini wa fikra! Miaka 50 with blatant blabla bado unaona hayo ni mema? What are you? Selfishness of highest level!
Hoja yako iko wapi? Kwa miaka 15 wananchi wa Karatu hawakuona udikteta unaousema! Wamemwona kiongozi mwadilifu, mchapa kazi mtetezi wa wanyonge anayeuchukia ufisadi!
Wewe umepewa hicho ki sh 10000 na hao CCM, unaanza kubwabwaja kama vuvuzela! Unashangaza sana!
calibre ya watu wanaomtetea jk inasikitisha sana.
Hawawezi kujenga hoja kwa nini huyo wanaemtaka is better a better leader... badala yake wanaingia kwenye maisha binafsi.
hivi maisha binafsi ya jk yakianza kuwekwa hapa anaweza hata kusimama jukwaani?
Hujisikia msemo "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Fafanua tafadhali.
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.
Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.
Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?
Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.
Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.
Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika.
Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.
[/COLOR][/COLOR][/SIZE][/SIZE]. tumewagundua!