Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Sema unachoogopa usitudanganye kuwa Dr. Slaa ni DIKITETA. Kwetu ni mkombozi.
 
Kweli kuipigia kampeni ccm lazima uwe na kichwa cha uwendawazimu-wazimu fulani....
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Zawadi umechelewa kuleta hizo propaganda za chuki, kwani sasahivi ni wakati wa ukombozi wa kiuchumi, ccm wao kupitia tanu walileta uhuru lakini wameshindwa kuondoa umasikini wa watanzania, hivyo inaonekana wewe ni mtoto wa miaka 4, labda baba yako huwa anakuchia computer nyumbani, so siyo tatizo lako, ila ni akili yako iliyojaa matope badala ya ubongo. Nani hapendi elimu ya bure, afya bure, ujenzi ulio nafuu??, kamuulize ndugu yako yeyote kama hayupo tayari kupokea sera nzuri kama hizo za Dr slaa!
 
Hujisikia msemo "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Fafanua tafadhali.

CCM si chama cha kuchagua. Sera zao ni ahadi za mfukoni zisizotekelezeka. Hakuna mtu wa kuchagua CCM. Kinyume chake una sababu za kuchagua vyama mbadala. Wanaelezea sera za kitaifa, wana watu waadilifu angalau kwa tuliyoyaona kwa kauli na vitendo vyao. Vipi mafisadi ambao chama cha CCM kinawalinda. Kwenye uchaguzi huu CCM hawazungumzii athari za Ufisadi kabisa ila wanajigamba na kesi ambazo wanajua hazina tija. Kipindi hiki kizuri kwako nakushauri ufikirie mabadiriko.
 
...Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Shabaaash!
Kumbe maelezo yako yooooote yasiyo na kichwa wala kiuno, lengo lako ni kumpigiadebe Kikwete? Si ungesema tangu mwanzo?
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Mkuu sina tatizo kabisa na post yako.

Naamini this is place for open minded people though some are rigid.

Ukiniambia kuwa Slaa ni dikteta nikuwa silent kwa kudhani unaanza kuweka vithibitisho! hasa kama ulikuwa ndani ya chadema you have a good chance to explain in details.

Ukiweka kila kitu wazi, still some people will agree but some wont.

I dont support the whole idea of not doning the first things first, ILA na support mageuzi na mabadiliko at any cost!

Yes Slaa he will be dictator, but it depend in which angle? we probably need a 'good dictator' in this country, someone who will say do this and people will do suddenly! I support his dictatorship (if any) for development of this country.

Huyo JK anachekacheka tu na kuleta utani kwenye kila kitu is he better than Slaa? definetely not!!!not at all.

Kama alifichua ufisadi wote tunaoujua leo hii, na kukataa baadhi ya starehe za bungeni then he is good, Imean far good than any CCM member!!
 
mama mdogo zawadi mzee anakula nini???? hebu tuambie siri ya kuangukaanguka hovyohovyo, au kutembea na drip sehemu zote!

anyway sitaki kuendelea na majitaka -napenda kuzungumzia hoja, miaka 50 tangu uhuru 80% ya watanzania wanaishi kwenye makazi duni kisa ccm hakina dira na hakilioni hili -mgombea wao anakimbilia kusema nitajenga uwanja wa ndege, miaka 50 ya uhuru na ccm madarakani kilimo ni jembe la mkono bila masoko bila miundombinu bora wewe unasema kilimo kwanza!!!! bila elimu bora wapi na wapi? na elimu yenyewe ya ubaguzi na bora elimu!!! mbofumbofu kibao -Dr. Slaa mtampachika majina mengi mnavyotaka ila ukweli mishuzi inawatoka -utasikia mara vitisho mara amekamatwa Godbless lema mara tamwa mara mwananchi mara bra bra bra bra takatakatakataka kwenda mbele -pipoooooooooooooooooooooz power ipo nanyi -Big Up Slaa -Dr wa ukweli achana na huyo dkt pachikwa haoni aibu eti docta bulll--------------------shit
 
sikubaliani nawe mkuu kwani hii nchi kwa sasa tulipo tunahitaji kiongozi jasili atakaeweza kukemea ufisadi pasipo kuwaonea huruma,pia tunahitaji kiongozi atakayesema hapana bila woga juu ya madini yetu,tuna hitaji kiongozi atakayejari maslahi ya jamii kwa ujumla.kwasasa hii nchi inahitaji dictator ambae atafagia mafisadi wote pasipo angalia uso wa mtu huu ni wakati wa mabadiliko tumechoka na mbwembwe na blabla za kisiasa tunahitaji vitendo,ebu angalia viwanda tulivyo kuwanavyo morogoro vimekufa vyote tumebaki na kiwanda cha ngozi kinatoa harufu kila sehemu na kiwanda cha tumbaku kinachoendeshwa na wamerikani,iwapi tanga ilikuwa na viwanda tele vimekufa vyote,nadhani kwasasa hakuna nchi itakayo endelea bila viwanda lia bongo tumeuwa viwanda vyote,Angalia madini tuliyonayo ni zaidi ya africa kusini(tanzanite) angalia mboga za wanyama,tunakila kitu lakini bado tu masikini,nadhani umefika wakati wa mabadiliko sijui ninani anafaa kwani nipo mbali na nchi mliopo bongo mnaweza kusema huyu anafaa kututoa hapa tulipo na kutufikisha pale,chaguo ni lenu tunahitaji uwakilishi wenu
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.
Mh........................! Kweli bado umelala....!
Aidha msimamo wangu ni huu: "DAIMA SIKUBALIANI NA MAPINDUZI YA KUIPINDUA NCHI MITHILI YA MIGUU JUU, THEN KICHWA CHINI, LAKINI HATA KWA KUINGIA MSITUNI NITAPIGANIA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, MAANA NDIO HITAJI LANGU, FAMILIA YANGU, JAMII YANGU, NA NCHI YANGU KWA UJUMLA....!". Hivyo, kamwe huwezi kunidanganya....! SIDANGANYIKI....!
 
Nadhani tafuta mume:A S-rose: ili akuchunge ukiwa umelewa usiandike kitu humu FB.... Maana leo nimemuuliza mtoto wa darasa la nne hapa Olasiti, Arusha utamchagua nani kama umri ungeruhusu???!!! Jibu alilonipa na sababu yake kakuburuta vibaya sana ndugu....:dance::A S 103:

Wacha bangi weweeee, ndo maana huyo mtoto uliemuuliza haruhusiwi kupiga kura. Ingekuwa wapiga kura wana akili za kitoto kusingekuwa na umuhimu wa kupiga kura. Siku nyingine kaulize watu wazima tena wenye akili timamu, maswali yako.
 
It goes without saying that if the existing corrupt system benefits you then defenfing it at any cost will be part and parcel of your life
 
kwa wale wote wenye nia njema na tanzania hawawezi kumpigia kura mh slaa. Kumpigia kura mh slaa ni sawa na kuitosa tanzania katikati bahari.

Ukidhani uchaguzi ni mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya mh slaa na hao watu.

tatizo kubwa la huyu mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa dikiteta idd amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua dikiteta slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

kuwa mh slaa ni dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa chadema. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu mh slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu mh.

unaipenda tanzani? Msikilize tu mh slaa lakini kura yako mpe kikwete.

kwa bahati mbaya, katika wagombea wote wa uraisi, dr. Slaa Ndiyo mwenye afadhali, so wewe tuache tu na huyo unayemwita diktekta.

My take:

Ni afadhali kuwa na raisi dikteta anayechukia ufisadi kuliko kuwa na raisi anayechekacheka na kuwalinda mafisadi huku sisi tukiendelea kuvuna mabua. Kwa hili bro/sister umeshemsha vibaya mno. Kura yangu bado nitampa slaa!
 
Nyani haoni kundule; Ni mtanzania ambaye au ametokana na ufisadi au amekulia katika familia ya ufisadi anaweza kutoa pumba alizotoa Ngoda.
Apendaye Chongo huita kengeza; Ngoda kuna kitu kimekupofusha siyo macho tu bali hata fahamu zako na unatakiwa uzinduke. hii nchi inatakiwa iwe reclaimed kutoka mikononi mwa akina JK na mafisadi wote ila urithi wa watanzania uwanufaishe watanzania na siyo kuweka nchi rehani kwa wageni na wafanya biashara mafisadi ambao lengo lao ni kujinufaisha wao huku wakimkalia myongo shingoni na kumkamua ili afe na wao wafaidi.

Haiwezekani huu ni uuaji na tunauchungu na nchi yetu tunahitaji wazalendo wa kweli na siyo mabepari na mabwenyenye.
 
C.C.M Oyeeeee!!!
36151_134955163221712_100001216874924_216355_2763509_s.jpg
 
Hivi Mkishinda mikutano mtakuwa mkifanyia wapi? au ndio mtapewa bure kule..........

Salam Mpendwa Zawadi,

Inawezekana watu wanazuia hisia zako za kulionya Taifa kuhusiana na Kumchagua Dr Slaa huenda ataongoza kwa maslahi ya wateule wachachache ambao Umesema "chagueni Mtu wala sio Chama" inawezekana pia hawa walikuwa wanatumia utashi wa demokrasia yao kwa kuona kipi ni pumba na kipi ni mchele.

Mpendwa Zawadi.; Nimekuwa Muumini mzuri wa mada zako unazo andika nikiona jinsi unavyo ifahamu chadema na CCM, Zawadi nachelea kusema Hata huyu jamaa aliposema Chagueni Mtu na sio Chama inawezekana kwa upande mwingine alikua yupo neutral kabisa kwani kuna chama kimekaa madarakani muda mrefu pasipo mafanikio na Mgombea akawa ana muelekeo chanya lakini kwa kuwa kama watu wakichagua chama hakika mtu huyu atabwagwa. Hivyo ni muhimu watu kumchagua mtu na sio chama.

Mpendwa Zawadi, Ukivaa miwani ya blue kila kitu utakiona kuwa ni blue naomba uvue hiyo miwani na ku think out of the box.

Mpendwa Zawadi Udini ni dhambi ya mwisho kwa Watanzania na alaaniwe mtu yule anayeuongea na kuushadadia kwenye jukwaa kwa mifano au kwa kutuma ujumbe kwa njia ya simu.. Mgombea anayetishia umoja wa kitaafa kwa udini Hatufai hata siku moja.

Tunaamini katika umoja wa kitaifa na Mabadiliko Katika kujenga Heshima ya Tanzania na Utanzania.

Mtu achaguliwe kwa Uwezo wa kujenga na Kutetea Hoja.

Nguvu ya Uma kuamua Kiongozi wanao mtaka.

Salaam

Zawadi
 
...

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.
.....

Zawadi Ngoda..!

Tulizana na utafakari kabla ya kulipukia mambo!

Refer: Kwenye red:

Mgawanyiko wa kwanza wa Watanzania utakaopelekea migawanyiko mingine yote ni Udhaifu na Uzembe uliopelekea UFISADI KUSHAMIRI NCHINI!

Baada ya hapo migawanyiko yote itafuatia... ya udini, ukabila, matajari na masikini, walio bora na wasio bora nk

Jiulize Kikwete anaujasiri wa Kuzima udhaifu na uzembe unaopelekea UFISADI hatimaye taifa lote kugawanyika, kijamii, Udini na ukabila nk?

Unaamini toka moyoni kwako kuwa Kikwete anaweza kuliokoa Taifa hili!!??
 
Kuna haja ya kutambua kwamba tulichokikosa watanzania baada ya Mwalimu ni kiongozi mwenye uthubutu, kiongozi mwenye dira, kiongozi shujaa mwenye ujasiri wa kukemea maovu (moral authority), kiongozi asiyemungúnya maneno na huyu si mwingine bali ni DR. W. P. Slaa.
 
Nadhani tafuta mume:A S-rose: ili akuchunge ukiwa umelewa usiandike kitu humu FB.... Maana leo nimemuuliza mtoto wa darasa la nne hapa Olasiti, Arusha utamchagua nani kama umri ungeruhusu???!!! Jibu alilonipa na sababu yake kakuburuta vibaya sana ndugu....:dance::A S 103:

mtaani kwetu ukuviuliza vitoto mnampenda nani vinakujibu SLAA!!!!:first:
 
Back
Top Bottom