Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

:blah::lalala::ban::deadhorse:
 
Wacha tuwe na Dikteta (kwa uzushi wako) kuliko kuwa na Tapeli na msanii wa kimataifa huenda vichwa vyetu vikanyooka sawasawa
 
Hivi Mkishinda mikutano mtakuwa mkifanyia wapi? au ndio mtapewa bure kule..........

Una maana ganii? Au wewe ndiye yule mgombea wa CCM aliyesema CHADEMA wanatoa ahadi, pesa za kutekeleza hizo ahadi watapata wapi? Ama kweli CCM imejaa mambumbumbu.
 
Mimi nitaichagua CCM daima. CHADEMA ni Kampuni ya Mtei akimtumia kibarakna SLAA pasipokujua
 
Mtu kama wewe hutakiwi kujibiwa maana ninjaa tu inakusumbua kachukue matrekta kwa jk ukalime. Slaa kiboko ya sisiem na mwaka huu mta shaa!!
 
Nilidhani wewe ni great thinker - kumbe unahitaji msaada - hebu soma maelezo yangu yakufungue ufahamu wako

"CHAMA CHOCHOTE KINAONGOZWA NA MTU - NA MFANO CHAMA CHA CCM KIMEMPITISHA JK KUWA MGOMBEA WAKE (KIONGOZI) - UNAPOAMUA KUCHAGUA CHAMA NA CHAMA HICHO KIKIWA KINAONGOZWA NA MTU ANAYETETEA MAFISADI HUONI KAMA UNAPOTEA????

NDIO MAANA UNAPASWA KUANGALIA "MTU" GANI ANAONGOZA CHAMA GANI - KAMA MTU HUYO NI SAFI - BASI MCHAGUE YEYE - "MTU" KWANI ATAKUWA NA UWEZO WA KUKIONGOZA CHAMA HATA KAMA NI KICHANGA - KITAPATA DIRA SAHIHI - E.G. CHADEMA
NA SIO CHAMA E.G. CCM - MRADI TU LABDA MWANZILISHI(MWALIMU NYERERE) ALIKUWA MWADILIFU NA CHAMA KIKAWA NA SERA NZURI - LAKINI BAADAYE WAKATOKEA VIONGOZI BOMU" E.G. JK

hope umeelewa - NDIO MAANA TUMEAMUA KUMCHAGUA MTU - DR. SLAA - MTU MAKINI MWENYE UCHUNGU NA MALI ZA NCHI YETU na TUMEAMUA KUTOICHAGUA CCM [CHAMA] KINACHOONGOZWA NA KIONGOZI ANAYETETEA MAFISADI HADHARINI BILA AIBU - yes!! thats it ........................ AND HERE I DARE TALK OPENLY!! - jamii forum oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nilidhani ni watu wa vijijini tu ndio waliobaki kupata elimu ya URAIA, KUMBE HATA WAFUASI WA CHADEMA WANAHITAJI ELIMU YA URAIA.

Kweli huyu nndugu haelewi maana ya Chama na wala haelewi nafasi wa kiongozi wa Chama.

Subiri nikueleze, wanachama wanaweza kumg'oa kiongozi wakati wowote ule na hali kadhalika kumchagua.

Ushauri: SOMA ELIMU YA URAIA.
 
Mimi nitaichagua CCM daima. CHADEMA ni Kampuni ya Mtei akimtumia kibarakna SLAA pasipokujua
Heri yangu nitakayechagua kampuni ya mzalendo; kuliko ile ya wahindi, waarabu na wazungu; maana wewe ni kama masikini wa akili ushajiridhisha, baki hapo hapo. Ubia huo mimi sioni unanifaa!

Dr Slaa For our future!!
 
Nilidhani ni watu wa vijijini tu ndio waliobaki kupata elimu ya URAIA, KUMBE HATA WAFUASI WA CHADEMA WANAHITAJI ELIMU YA URAIA.

Kweli huyu nndugu haelewi maana ya Chama na wala haelewi nafasi wa kiongozi wa Chama.

Subiri nikueleze, wanachama wanaweza kumg'oa kiongozi wakati wowote ule na hali kadhalika kumchagua.

Ushauri: SOMA ELIMU YA URAIA.
Zawadi, Barux2 anakutumia vibaya; hivi umeonja sumu ipi? Maana nilivyotonywa sikuamini kama ni wewe unaandika haya unayoandika; shauri yako; lazima ujue hukumu ya watu kama nyie ipo. Imani ni yangu na yako ni yako; lakini kupandikizwa chuki ni kitu kingine. Na wewe hiyo chuki umeipenda. Ukiona unawapenda wenzio bila kubagua ujue hata wewe unajipenda; otherwise, if you hate others, it is true that you hate yourself!!
 
Haya tena mambo hayo!

attachment.php
Hawakujua anahitaji ulinzi 'usioonekana'!! Ona viuno vyao vilivyotuna...
 
Angalia mnavyoshindwa kujibu hoja, Hata mkiingia madarakani itakuwa hivyo hivyo ni swaga swaga tu.

Jamani vyama vinginew navionea huruma.

Nauliza tena "usichague chama , chagua mtu" Tutafsirie hata kikwenu.

Hapa ndipo udikiteta ulipolala. Kama utashindwa kujibu na kutuletea picha zisizo na mpango, tutaelewa kuwa MADIKITETA WAMEPIGA HODI.

Ukumjibu kichaa...................!!!!ndo maana hawa hangaiki nawewe RIP
 
Heee...hivi binadamu wote tuna vichwa?...I seriously doubt!!!
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.

Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.

Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.

Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Hee...wakuu mmeelewa chochote hapa? Duh great thinker au great TINKER? Ningemuelewa kidogo kama angeanza kwa kuimba kale kamwimbo ka jamaa gani sjui wa kenya kana chorus..."I'm not sober oyee... I'm not sober..."
Hakyanani njaa mbaya sana,unaweza kuuza mpaka kichwa chako ili ugange njaa...!!!
 
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi....

Hawawezi kumrudisha tena madarakani ndugu Jakaya Kikwete. Ameshindwa tayari na hakuna haja ya kurudia makosa.

Najua Zawadi analifahamu hili na moyoni mwake anajua JK amefail big time lakini inawezekana ameshalishwa mrungungula na ndo maana anafuka kwa sana
 
kwa wale wote wenye nia njema na tanzania hawawezi kumpigia kura mh slaa. Kumpigia kura mh slaa ni sawa na kuitosa tanzania katikati bahari.

Ukidhani uchaguzi ni mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.

Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?

Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya mh slaa na hao watu.

tatizo kubwa la huyu mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta
. Sasa tulimkataa dikiteta idd amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua dikiteta slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.

nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika
.

kuwa mh slaa ni dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa chadema. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu mh slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu mh.

Unaipenda tanzani? Msikilize tu mh slaa lakini kura yako mpe kikwete.

umepata kusoma ule waraka ulioletwa hapa juzi unaomzungumzuzia edwin mtei na kuchakachuliwa na jf mods? Hakika naamini hata slaa hajui kama anatumiwa na edwin mtei
 
Zawadi, Barux2 anakutumia vibaya; hivi umeonja sumu ipi? Maana nilivyotonywa sikuamini kama ni wewe unaandika haya unayoandika; shauri yako; lazima ujue hukumu ya watu kama nyie ipo. Imani ni yangu na yako ni yako; lakini kupandikizwa chuki ni kitu kingine. Na wewe hiyo chuki umeipenda. Ukiona unawapenda wenzio bila kubagua ujue hata wewe unajipenda; otherwise, if you hate others, it is true that you hate yourself!!
Nyinyi CHADEMA ni watu wa hatari sana.Damu muliokwisha imwaga bado haijawatosha.Sasa munamtishia maisha huyu binti,Zawadi.Kweli mutawamaliza wapinzani wenu kwa staili hiyo?.
Nia zenu hizo ndiyo munajipigia muhuri kuwa si watu wa kukabidhiwa nchi,jeshi na magereza. Leo vitu hivyo haviko mikononi mwenu bali viko kwa Kikwete munawaza kuwatilia sumu wenzenu,haa!,mukivipata,itakuwaje?.Lakini si ajabu hiyo, kwani hata sare zenu zinaashiria shari tupu munayoikusudia.
Eee! Mungu (Allah) tuepushe na jinamizi hili la CHADEMA.
 
hivi mkishinda mikutano mtakuwa mkifanyia wapi? Au ndio mtapewa bure kule..........

naomba nimsaidie tena bila jazba huyu ndugu yetu bw. Zawadi. Wanasoposema chagua mtu na si chama, ni kwamba wanajaribu tu kutoa elimu ya uraia kwa wale ndugu zetu wasio na uelewa thabiti kwenye masuala ya siasa na mustakabali mzima wa nchi yetu. Viongozi waliopo madarakani wengi tumewapima na tunajua hawatufai. Lkn watu wengi wamekuwa wakiwakumbatia hawa mafisadi eti kwa sababu tu wapo ndani ya ccm, hao ndo tunapenda wapate ujumbe sahihi kwamba waangalie uadilifu wa mtu kama kweli hafai hata kama yupo ccm hatufai,achana na uccm mchague unayemuona anafaa.kwa hoja yako, naiona ni hafifu mno maana hata huyo dr slaa anagombea kupitia chama cha siasa.majukwaa hata kwenye nyasi tutakaa kwa kuanzia sio tatizo. Asante
 
We ami fanya tafiti kabla ya kuamua kuandika watu wazima wasome ,na ukiamua kuandika basi jaribu kuhakiki ndio utume ujumbe wako. Hakuna chama chenye ilani ya kuvunja amani. Hizo unazozisikia majukwaani wenzako wanaziita propaganda,sasa hizo ni tofauti na facts, usitumie propaganda kujenga msingi wa hoja yako. Kama damu zimemwagika ni kweli wahusika ni wakereketwa wa vyama vya siasa husika,iwe ni CCM, au chadema. Na vielelezo vilivyopo vingi vinaonyesha kuwa ccm na watu wao wa green guard ndio wamekuwa wa kwanza kujihusisha na kuanzisha vurugu.ni dhahiri pia wana chadema nao wamehusika kwa namna moja au nyingine.tuache ushabiki tuzungumze ukweli. Walau kwa upande wa chadema tumesikia mgombea wake dr slaa akiwasihi wanachama wake wasijihusishe kwe vurugu.lkn bw kikwete hatusaikia tamko lolote. Tukubali kwamba watanzania sasa wameamka wanataka mabadiliko tushindane kwa hoja tusipigane.asante
 
Really home of great thinkers. Ila ktk msafara wa wenye hekima kuna mbu x3. Mbu x3 wetu Zawadi kapata majibu ya busara. Ninapowapendea tu washabiki wa sisiem, HAWANAGA HOJA YENYE MASHIKO. Utadhan hawana brains.
 
Back
Top Bottom