Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.
Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.
Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?
Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.
Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.
Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika.
Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Angalia mnavyoshindwa kujibu hoja, Hata mkiingia madarakani itakuwa hivyo hivyo ni swaga swaga tu.
Jamani vyama vinginew navionea huruma.
Nauliza tena "usichague chama , chagua mtu" Tutafsirie hata kikwenu.
Hapa ndipo udikiteta ulipolala. Kama utashindwa kujibu na kutuletea picha zisizo na mpango, tutaelewa kuwa MADIKITETA WAMEPIGA HODI.
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.
Fafanua neno hili tafadhali "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Mbona mnajibu hewa, na ktk uongoizi ndio mtakuwa hivyo hivyo. tumewagundua!
This one is better, I was looking for something similar to say....Ignore her. Just anotherBootYlicker working for her stomach.
Great Thinker in the making............CCM ni sawa na samaki aliyeharibika, labda kichaa peke yake ndo anayeweza kumla.CCM wenyewe walishachagua mtu badala ya chama. Ndiyo maana Makamba alisema wazi JK ni maarufu kuliko chama na vileviel ndiyo sanbabu kampeni zinafanywa na Baba, Mama na Mwana na siyo chama!!!
Kwa hiyo ushauri wa bure, kama unachagua Chama chagua CHEDEMA kama unachagua mtu au familia chagua JK!!!
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.
Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.
Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?
Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.
Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.
Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika.
Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.
Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye kubeba mzigo sio Viongozi waliopo madarakani sasa hivi bali ni wewe mpiga kura - mlala hoi.
Ukitaka kujua hatari ya huyu mtu angalia marafiki zake wa karibu na wale wanaosimama majukwaani na kusema "msichague chama, chagueni mtu". Huu ni ujinga kabisa, kwani hii ni nchi ya kidikiteta? Hivi ni mtu mmoja atayeiongoza hii nchi au ni ilani ya chama?
Katika nchi yeyote ile inayofuata demokrasia, Rais hana nguvu ya namna hiyo. Na hapa ndio utajua ajenda za siri na makubaliano yaliyokuwepo kati ya Mh Slaa na hao watu.
Tatizo kubwa la huyu Mh ni elimu aliyosoma, apende asipende inamsogeza karibu na udikiteta. Sasa tulimkataa DIKITETA Idd Amini, baada ya miaka kadhaa tunamchagua Dikiteta Slaa. Kwa taarifa yenu dikiteta wa kuchaguliwa ni hatari zaidi kuliko yule aliyeingia kwa kupindua nchi.
Nchi itagawanyika vibaya sana ikiwa ndoto yake itakamilika.
Kuwa Mh Slaa ni Dikiteta nilishayaona wakati nilipokuwa CHADEMA. Sasa nimeamua kuwaelezeni ili mumfahamu Mh Slaa ni nani? Unachoweza kukifanya ni kutompigia kura huyu Mh.
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.
Kwa hiyo Tanzania tutakuwa na Madictactor Wawili kama Slaa akishinda, Nyerere wa kwanza, wa pili Slaa.
Nimesikiliza sana hotuba zake na nimegundua huyu jamaa Dr. Slaa hana UWEZO wa kuwa rais.
Fafanua neno hili tafadhali "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Mbona mnajibu hewa, na ktk uongoizi ndio mtakuwa hivyo hivyo. tumewagundua!
Tunachagua mtu mwenye uchungu na nchi yake na si chama cha mafisadi CCM. Unadai rais hana nguvu, nani kakudanganya wewe? Labda ingekuwa Marekani au Uingereza ningekuelewa, ambako wananchi na wabunge wana nguvu ya kumkatalia rais jambo na ikawa na hakuna visasi na si kwa Tanzania ambayo watu (wakiwemo wabunge) wanamwogopa rais (hasa Kikwete mlipiza visasi) kuhofia maisha yao, kazi zao , biashara zao n.k.
Kwa kifupi ni maafa kuendelea kutawaliwa na CCM na hasa Kikwete akiwa kama rais kwani ameididimiza nchi tunaona hivihivi. Unadai kuna tatizo la elimu ya Dr. Slaa hapa inadhihirisha kuwa wewe huenda ndo uliyeandika ule waraka kutoka msikiti pale Mwenge. Tatizo lako ni udini. Nchi hii haina dini ila watu wake wana dini zao. Huwahurumii ndugu zako walioko huko vijijini wanavyoishii maisha duni huku wana mtandao wakiishi maisha ya anasa kupindukia?
Ushauri: Mchague Dr. Slaa kwa maendeleo ya nchi hii.
Hoja yako No 1 nimeielewa una maana nini, kwa hiyo tegemeo la Mh Slaa ni kwamba muhimili wa Bunge hatauhitaji? Kwa vile ataendesha mambo yake huku Bunge likimpigia magoti, na kuwa Bunge la Bendera.
Tuache utani wewe binafsi unaunga mkono hili. Je kuna Demokrasia hapo? Na kama hakuna Demokrasia basi nu UDIKITETA ndio utaotawala.
Katika hoja yako hii, unafanya makosa makubwa sana, tena ni makubwa sana. Bunge la Tanzania la leo kwa jinsi lilivyozoea uhuru lililopewa na JK, HALIWEZI kurudi nyuma na kuwa kama hivyo usemavyo.
Kitu usichokielewa ni kwamba, mambo yalikuwa rahisi kwa CCM kwa sababu walikuwa na wabunge tosha kupitisha hoja, kitu ambacho panga pangua CHADEMA hawawezi kupata. Sasa huyo Mh wenu akiwa na nadharia hizo ulizo nazo wewe ataipeleka nchi pabaya.
Mimi napenda wapinzani washike nchi, lakini sipendi wajaribu kushika nchi. Kwa umasikini tulio nao hatuna muda wa kujaribu!
Na uchaguzi si lelemama, tusifanye utani jamani, CHONDE CHONDE!
Hoja yako ya pili sina haja ya kuijibu, ukweli nimechoshwa na uchochezi wa Udini, au na wale waombao kura kupitia nyumba za ibada. Sina la kujibu.
Ujumbe wa leo: Ni rahisi kuharibu amani, lakini ni vigumu kuirudisha amani. Ukitaka kuharibu amani, mpe kura yako Mh Slaa.