Kama unajijua kabisa huwezi ' Utani ' basi usishabikie Simba na Yanga kwani ' nimepigwa ' chupa leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama ' Utani ' wa Simba na Yanga ndiyo leo umefikia hivi basi kama hatua za haraka hazitochukuliwa na Mamlaka husika huenda kuna Siku ule Uadui wa Kisiasa wa CCM na CHADEMA ukahamia kwa Wapenzi wa Simba na Yanga na nchi ' ikachafuka ' na ' kikanuka '.

Katika hali isiyo ya kawaida kabisa nikijua kabisa kwamba nafanya ' Utani ' wangu wa Usimba na Uyanga leo asubuhi nikiwa mitaa ya Kariakoo jirani ile Sheli ya Puma na Ofisi za Super Star alikuja Mtu mmoja ambaye namfahamu ni mwana Yanga kabisa na Yeye mara nyingi Simba ilipokuwa ikifanya vibaya alikuwa akinitania hadi nikawa nabuni njia nyingi ili tu ' Kumkwepa ' lakini hata siku moja sikuwahi kuonyesha Kukasirika au Kukereka.

Kanikuta nimesimama nikisubiri Usafiri wa ' Mwendokasi ' na akaja kuniuliza kama najua njia zozote za ' Panya ' za kumuwezesha hadi afike mitaa ya Twiga na Jangwani kuna ' Fundi ' Gereji mmoja anamtafuta ndipo nami nikijua kwamba tunaendeleza ule ule ' Utani ' wetu wa Simba na Yanga nikamjibu hivi nanukuu...." Ukitaka njia ya panya ufike huko uendako pita hii barabara utakutana na barabara nyingine ya Kichuya kisha utaiona barabara ya Nyoni na hapo utakuwa umeshafika ....."

Cha Kushangaza sana baada ya kuambiwa asante nilichoambulia tu ni kupigwa na Chupa ya Maji na kiukweli imeniumiza na kunivimbisha pia maeneo ya Usoni ila nimeamua tu ' Kumpotezea ' huyu Mtani wangu kwa leo ila najua kuna Siku tu na Yeye atajaa mwenyewe katika ' Frame ' ndipo hasa sasa nami nitamtengeneza / nitamnyoosha.

Kama hamjui ' Utani ' tafadhali acheni kushabikia Simba na Yanga

Nawasilisha.
 
Kaka Charismatic Fella....
Nasikia msiba ulichangia ushindi wenu?
 
Hakuna kitu kinachonikera kama 'nyuzi' bila 'kapicha'.
 
Back
Top Bottom