Kama unajiona mrembo sana hujafika makumbusho wewe kama unajiona handsome sana hujafika makumbusho wewe?

Kama unajiona mrembo sana hujafika makumbusho wewe kama unajiona handsome sana hujafika makumbusho wewe?

Makumbusho ukikaa masaa 2 lazima shingo ikuume kugeuka geuka kila dakika aisee hiki kutuo kimejaa maua balaa

Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu.

Shkamoo makumbusho
Tatizo ushamba umekujaa, unajua makumbusho moja tuu Tanzania. Ni Hadithi ya kipofu aliyeona mwezi.
 
Back
Top Bottom