KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
alafu ukitaka uchanganyikiwe kabisa panda gari za Makumbusho Chuo zile zinapita UdsmMakumbusho ukikaa masaa 2 lazima shingo ikuume kugeuka geuka kila dakika aisee hiki kutuo kimejaa maua balaa
Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu.
Shkamoo makumbusho