KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Ndio wapi huko?Makumbusho
Acha kabisa inabidi umlete huku akiona wenzie maringo ataacha tuPengine ni mawasiliano...
Huyo dem ako akikusumbua kakae hizo stendi mbili. Utagundua unateswa na karunguyeye...
Dar es salaamNdio wapi huko?
Tatizo ushamba umekujaa, unajua makumbusho moja tuu Tanzania. Ni Hadithi ya kipofu aliyeona mwezi.Makumbusho ukikaa masaa 2 lazima shingo ikuume kugeuka geuka kila dakika aisee hiki kutuo kimejaa maua balaa
Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu.
Shkamoo makumbusho
Ziko makumbusho nyingi Tanzania, hata dar makumbusho siyo moja.Dar es salaam
Itakua uliniona mm maana nauza popcorn hapo nina nywele nyingi hiviMakumbusho nimefika sana sijaona mahandsome, wengi ni wakaka wanaotikisa makalio na walojichubua.
Kuna baadhi wapo wanapiga kazi Mungu awabariki bila kuwasahau wakaka wanaouza popcorn.
🤣🤣🤣🤣🤣karunguyeye...
Wantikisa makalio kivipi?? mkuuMakumbusho nimefika sana sijaona mahandsome, wengi ni wakaka wanaotikisa makalio na walojichubua.
Kuna baadhi wapo wanapiga kazi Mungu awabariki bila kuwasahau wakaka wanaouza popcorn.