Uchaguzi 2020 Kama unajisikia uchungu kwa ushindi wa CCM mwombe Mungu akuponye na hii hali

sawa, ngoja sasa tusubiri kuona tz kuwa kama "uraya"!!!.
 
Kama kweli una hofu ya Mungu,nenda katubu mbele zake kwa kumtaja na kunajisi jina lake.
 
Yaani hayo ndo unaita mapenzi ya Mungu?
 
 
Turudishieni mitandao tusheherekeee ushindiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mungu wabariki wapinzani
 
Basi Mmmeshinda eee.. Hongereniii


Tutawakeraaaaaaa!!!

Ccm JUUU

Mbona mvua inanyeshea woote. Na hata ukame pia unatupata wooote. Its only when and where will you be at that time.



TUTAKEREKA WOTE KWA MDA UNAOTOFAUTIANA.
 
Mungu yupi kawapa kibali cha kuiba kura kuua watu Zanzibar? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
Sasa kama Lissu ilikuwa ni mpango wa Mungu ila sasa tunaona huo mpango haujafanikiwa,je unataka kusema kuwa mpango wa Mungu umeshindwa? AU labda tuseme Lissu hakuwa mpango wa Mungu na ndio maana hadi sasa tunavyoongea ccm bado ipo madarakani,la sivyo mipango ya Mungu huwa haishindwi.
 
Japo upinzani sio vyama ila sasa tuna upinzani kwa ajili ya vyama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…