MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori Kuu Mjini iwe ni Chama na siyo Kocha mahiri Pablo.
Msidanganyike na acheni pia Kupoteza muda tena KEROZENE nasema nikijiamini kabisa 100% baada ya kuwa na uhakika ni kwamba Mchezaji Clatous Chota Chama hatui / haendi Yanga SC hata wamtengee Kiasi gani ila kama akiamua kurejea Tanzania tegemeeni kusikia anatua Simba SC tu.