Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Binafsi nawaelewa CCM kwanini wamekataza Press ya Mnyika na wakaenda kuweka polisi mbele ya jengo la CHADEMA ili kuzuia hiyo Press kufanyika.
Whoever made that decision anaelewa ni kiasi gani CHADEMA wana nguvu kwenye mitandao ya kijamii.
Kama hiyo press itafanyika, hakuna mtu ata-concetrate na hilo kongamano la nishati, Tanzania yote itasimama kusikiliza Mnyika wa CHADEMA atasema nini.
Soma pia: Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari
Tuliona hili kwenye Uchaguzi wa CHADEMA, watu hawakulala wanafuatilia Uchaguzi na kuna video zenye masaa zaidi ya 6 kufikia sasa zimeshafika views laki 2 huko kitu ambacho CCM hwajawahi kufika.
Hizi ni baadhi na polls zilizopost uchaguzi huo, na kwa hii impact walioionesha CHADEMA ni wazi kuwa huo mkutano wa CHADEMA ungezuiliwa tu