Kama unajiuliza ni kwanini 'Mtanange' wa Yanga SC na Simba SC 'Umesogezwa' mbele 'ghafla' basi hizi ndizo sababu Kuu kabisa

Yanga tusikubali hiyo tarehe7 mechi ipigwe tarehe8 jpili muone mnyama atakavyo uwawa bila huruma
 
Nilipoona umetoa sababu kuwa "kumlinda kocha wao mpya" nikaona hujui kitu chochote, kama kawaida kujitia mjuaji kumbe hakuna unachokijua.

Kuelekea kwenye mechi ya tarehe 18, Yanga walishasema kuwa timu itakuwa chini ya kocha msaidizi (Mwambusi). Na ilishaingia Kambini na kuanza mazoezi
 
Nadhan kuna mtu ratiba yake na Fiesta yake anataka viendane na siku ya Dar Derby!
 
Hii riwaya uliyoandika,haina mashiko kwani walioomba mechi kuahirishwa ni Simba
 
Bonge la mediocre ilo
 
Hopeless.
 
Ulipoandika tu simba ina vinasaba vya chadema hapohapo nikajua we ni mzee wa kusikiliza story za vijiweni na kuja kuandika hapa.
 
Akili bado zipo na kwasababu wewe ni mwanamsimbazi mwenzangu nakupa kongole hofu yangu tunakaribia msimu wa mvua.
 
.
Acahana na uandishi wa mihemuko ya kishabiki uliojaa ndani ya Uzi wako pia Uzi wako umejaa Mambo ya kishirikina, fitina, kulialia, chuki binafsi na Majungu tupu.
Hivyo Basi itoshe tu kusema huu Uzi umejaa ujinga mtupu.
 
nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…