Umepopoma kwelikweli hapo sababu nimoja tu Hizi timu zina Vinasaba na "Chama cha Mapinduzi" na hata siku moja Simba ya 1936 haiwezi kuwa na vinasaba vya CHADEMA ya 1992 au chama chochote kingine cha Siasa!
Simba haijacheza na timu yenye quality players so far ukitoa Mtibwa na Chama akala kanzu mbili kutoka kwa mtoto mdogo JOJO kutoka under 20 ya Mtibwa..Simba inamapungufu ya kukaba hayawezi kuonekana ukicheza na timu zilizokuwa disorganised...sasa Yacoube, Sarpong na Kisinda nani wa kuwakaba..beki ya Yanga kuta la Berlin