Mm kama anayehitaji kukopa ni mwanamke na yupo single aje achukue hata 5m ila dhamana niwe naye kila night.
Staff mates akukopeshe 1M??..mtumishi mwenyewe ukute ni mwalimu..Sio mlipAji mzuri ni mrushi mkubwa kwani hyo kazi unafany ww mwenywe huna staff mates wakakukopesha
Nenda Kafie mbali heko na matatizo yako na ss tunayetu
Kujaribu ni bure!Wengi wenye kuweza kutoa hiyo pesa unayoitaja hawana mawazo ya kaliba hii.
Jamani.mbn kila ref ni kwa mwlmu?HV mwalimu analipwa sh ngapi jamani?Staff mates akukopeshe 1M??..mtumishi mwenyewe ukute ni mwalimu..
Kujaribu ni bure!
Keep try!