Kama unakopesha pesa kwa watumishi wa umma pitia hapa.

Jingalao

Senior Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
122
Reaction score
102
1.Weka kiwango cha chini cha mkopo na riba kwa mwaka.
2.Kwa anaefahamu bank inayokopesha chini ya 1,000,000/=(Nimeenda CRDB wanaanzia 1,500,000/= wakati shida ni kupata 1mil tu.
3.Mahali ni Dar es Salaam.
 
why hataki makato ya payslip?? mdhamini wake ni nani?
 
Rudi ujibu maswali,kukopeshwa sio kazi rahisi kama ulivyoanzisha thread
 
Mm kama anayehitaji kukopa ni mwanamke na yupo single aje achukue hata 5m ila dhamana niwe naye kila night.
 
Sio mlipAji mzuri ni mrushi mkubwa kwani hyo kazi unafany ww mwenywe huna staff mates wakakukopesha
Nenda Kafie mbali heko na matatizo yako na ss tunayetu
 
Mtumishi wa Umma unashindwa kukopesheka milion moja mpaka uje JF?

Ajitazame vizuri na atafute marafiki wapya wenye msaada kwake
 
Watu wakiwa kwenye pori la Jf wanaandika chochote wakati inawezekana wana njaa kali na wanajua dharura zinazompata binadamu.

Maswali ya kuuliza PM unauliza hapa ilimradi uonekane boss unaeweza kukopesha.
 
Kujaribu ni bure!
Keep try!

Muda na nguvu ni vitu muhimu sana kuvipoteza bila sababu, nachagua kwa umakini sana vitu gani nijaribu na vipi nisijaribu.
Hakuna haja ya kujaribu jambo lisilo na tija.
 
Sio mlipAji mzuri ni mrushi mkubwa kwani hyo kazi unafany ww mwenywe huna staff mates wakakukopesha
Nenda Kafie mbali heko na matatizo yako na ss tunayetu
Aisee
Unamfahamu mkopaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…