Kama unakuja Mwanza kuanza chuo, tutakupokea

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
ikiwa umechaguliwa kuja kuanza chuo jijini mwanza na huna mwenyeji sisi tupo kwa ajili ya kukupokea kukupatia maradhi kukuonyesha chuo chako na kukutafutia sehemu nzuri ya kukaa

lengo kukussidia kuepuka gharama zisizo za msingi na uhuni wa mjini unaofanywa kwa wanafunzi wagenni

gharama ya kukupokea na kukufanyia haya yote ni elfu 20 tu

ukiwa tayali ni pm
 
mbona ndo home kule dodoma mi nasaka mkate
 
ikiwa umechaguliwa kuja kuanza chuo jijini mwanza na huna mwenyeji sisi tupo kwa ajili ya kukupokea kukupatia maradhi kukuonyesha chuo chako na kukutafutia sehemu nzuri ya kukaa

lengo kukussidia kuepuka gharama zisizo za msingi na uhuni wa mjini unaofanywa kwa wanafunzi wagenni

gharama ya kukupokea na kukufanyia haya yote ni elfu 20 tu

ukiwa tayali ni pm

huyu Jamaa na wenzake wanatoa Maradhi mnaoenda mwanza kaeni chonjo
 
ikiwa umechaguliwa kuja kuanza chuo jijini mwanza na huna mwenyeji sisi tupo kwa ajili ya kukupokea kukupatia maradhi kukuonyesha chuo chako na kukutafutia sehemu nzuri ya kukaa

lengo kukussidia kuepuka gharama zisizo za msingi na uhuni wa mjini unaofanywa kwa wanafunzi wagenni

gharama ya kukupokea na kukufanyia haya yote ni elfu 20 tu

ukiwa tayali ni pm

Wewe unasoma chuo gani ?Nina mashaka na wewe maana hujui kujieleza.
 
ikiwa umechaguliwa kuja kuanza chuo jijini mwanza na huna mwenyeji sisi tupo kwa ajili ya kukupokea kukupatia maradhi kukuonyesha chuo chako na kukutafutia sehemu nzuri ya kukaa

lengo kukussidia kuepuka gharama zisizo za msingi na uhuni wa mjini unaofanywa kwa wanafunzi wagenni

gharama ya kukupokea na kukufanyia haya yote ni elfu 20 tu

ukiwa tayali ni pm

yaani wewe umejiandaa kumpokea mtu na kumpa maradhi? maradhi gani hayo? au hujui maana ya maradhi?
 
Back
Top Bottom