Kama unakula haramu chagua iliyonona

Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
 
Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
Hao ni noma,ataongea hapo mpaka utahisi kutajirika ni kufumba na kufumbua macho.
Muangalie yeye sasa,usikute hata dinner kanyoosha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…