fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
100% mkuu wahi tiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% mkuu wahi tiba
njoo lm
Hao ni noma,ataongea hapo mpaka utahisi kutajirika ni kufumba na kufumbua macho.Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
Maelezo bila picha hayanogi. Weka picha ya huyo mwanamke mrembo na alienona tuone.
Ungenipigia muda huo rafiki.Hao ni noma,ataongea hapo mpaka utahisi kutajirika ni kufumba na kufumbua macho.
Muangalie yeye sasa,usikute hata dinner kanyoosha..
Sent using Jamii Forums mobile app