Kama unalala chini pitia hapa

Kama unalala chini pitia hapa

Godwin peter

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2019
Posts
360
Reaction score
608
Wadau humu, kuna kitu nataka kushare na nyie.Sijui kama na wengine hii hali upitia au lah!!! Nimekuwa na tendency ya kuamka usiku kama saa kumi hivi then natoka kitandani na kulala chini hadi ile saa 12 ninapo amka,sasa sijui ni kitu cha kawaida au kuna namna
 
Utakuwa umerogwa wewe sio bure mkuu. Mtafute mtaalamu akuague.
 
Mimi huwa silali kitandani,natandika mkeka wangu nalala chini aisee nahamka nikiwa fresh kabisa,hakuna hata kiungo kinauma,na sitakuja kulala kitandani tena
Watu wengi hawajui ukilala chini mwili unajinyoosha vzuri hata matatizo ya mgongo kuuma hutoyasikia kamwe...Ndomana wachina wanalala kwenye vigodoro vigumu vidogo...ila njoo bongo sasa mtu ananunua godoro inch 12[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom