Kama unalala chini pitia hapa

Kama unalala chini pitia hapa

Mwaka wa tatu huu nalala chini, kitanda nilikipangua pangua nikakipaki store. Maumivu ya mgongo kwisha maa'ke kabla ya hapo mgongo ulinisumbua mara kwa mara.
 
Watu mnalalia godoro za malaika mnasingizia kitanda kinaleta maumivu ya mgongo, nunueni magodoro binafsi nikilala chini naamka mwili wote unauma.
 
Watu mnalalia godoro za malaika mnasingizia kitanda kinaleta maumivu ya mgongo, nunueni magodoro binafsi nikilala chini naamka mwili wote unauma.
Sina shida na godoro ni zuri mno….ila ndo hivyo mornie naacha kitanda changu 5x6 inch 10 naingia kwa floor
 
Kulala chini kunasaidia vitu vingi ikiwemo kuunyoosha mgongo na kuondoa uchovu,

Kama unafanya shughuli ya kukaa kwenye kiti muda mwingi kama dereva au ofisini ni vyema ulale chini walau mara moja kwa wiki au hata mara kadhaa kwa mwezi inasaidia kunyoosha mgongo

Pia kama umejikuta umechelewa kulala na unahitaji kuamka mapema ukiwa mwenye nguvu lala chini inasaidia kuamka ukiwa na nguvu bila uchovu
 
Wadau humu, kuna kitu nataka kushare na nyie.Sijui kama na wengine hii hali upitia au lah!!! Nimekuwa na tendency ya kuamka usiku kama saa kumi hivi then natoka kitandani na kulala chini hadi ile saa 12 ninapo amka,sasa sijui ni kitu cha kawaida au kuna namna
Una pepo.
Mimi nina godoro maalum huwa kwa miezi kadhaa ikipita au kwa mwaka mara 2 nachukua carpet natandika naweka godoro juu nalala, najisikia raha sana.

Je umewahi kusex na pisi yako ukiwa umetandika godoro zuri?

Tamu balaa😂😂
 
Nataka kujua umeoa au umeolewa? Maana kama uko ndani ya ndoa jiandae kulia na kusaga meno
 
Wadau humu, kuna kitu nataka kushare na nyie.Sijui kama na wengine hii hali upitia au lah!!! Nimekuwa na tendency ya kuamka usiku kama saa kumi hivi then natoka kitandani na kulala chini hadi ile saa 12 ninapo amka,sasa sijui ni kitu cha kawaida au kuna namna
Weka na picha basi tuone ukiwa umelala chini ya kitanda.
 
Back
Top Bottom