Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
Ushirikina auKuna namna
Bro mbona kitanda ninacholala kikubwa tu means hela ipoUmaskini
Utakuwa umerogwa wewe sio bure mkuu. Mtafute mtaalamu akuague.Wadau humu, kuna kitu nataka kushare na nyie.Sijui kama na wengine hii hali upitia au lah!!! Nimekuwa na tendency ya kuamka usiku kama saa kumi hivi then natoka kitandani na kulala chini hadi ile saa 12 ninapo amka,sasa sijui ni kitu cha kawaida au kuna namna
Sio umasikini kitanda kinaleta magonjwa mengi,ya mifupaUmaskini
MmmhUtakuwa umerogwa wewe sio bure mkuu. Mtafute mtaalamu akuague.
Kuna ubaya mkuu?Yaan wewe ndio ulale kitandani,ifike alfajiri kwa hiyari yako uamke uamue kulala chini,alafu uje jamii forum utuulize kama ni kitu cha kawaida?
UongoSio umasikini kitanda kinaleta magonjwa mengi,ya mifupa
Watu wengi hawajui ukilala chini mwili unajinyoosha vzuri hata matatizo ya mgongo kuuma hutoyasikia kamwe...Ndomana wachina wanalala kwenye vigodoro vigumu vidogo...ila njoo bongo sasa mtu ananunua godoro inch 12[emoji23][emoji23]Mimi huwa silali kitandani,natandika mkeka wangu nalala chini aisee nahamka nikiwa fresh kabisa,hakuna hata kiungo kinauma,na sitakuja kulala kitandani tena
🤣🤣🤣Watu wengi hawajui ukilala chini mwili unajinyoosha vzuri hata matatizo ya mgongo kuuma hutoyasikia kamwe...Ndomana wachina wanalala kwenye vigodoro vigumu vidogo...ila njoo bongo sasa mtu ananunua godoro inch 12[emoji23][emoji23]
Hapana mkuu,yaani unakuta kabisa saa kumi au kumi na moja natoka kitandani kabisa na kulala chinisiyo kwa sababu ya joto ndo kunakufanya ulale chini hiyo alfajiri?