4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu wanajf popote mlipo .
Leo sina mengi wakuu ,ila nataka majibu toka kwenu.
Deni la Taifa leo ni T 100 plus ,ila yule mnafiki anasema kama watz tusiwe na wasiwasi. Why tusiwe na wasiwasi wakati walipa deni ni sie wananchi kupitia kodi zetu?
Wasiwasi kwanza ni akili kubwa.
Hivi nchi hii chini ya utawala huu tunalipa kweli madeni ambayo yameiva? Kama tunalipa inakuwaje deni la Taifa linazidi kupaa?
Binafsi nasema hapana wenda tunafanya mchezo wa kamali ,kwamba unakopa kule na deni likisha iva unachkua pengine mkopo na kulipa pa kwanza ,kama ndivyo huu ni uzuzu, wachumi wa nchi hii saidia Taifa hili, maana kama tunalipa why deni la Taifa au la mama lazidi kupanda?
Mh mkapa(R.I.p) mkuu alilipa madeni mpaka fikia mengine samehewa.
Nadhubutu sema kwamba tz hatulipi madeni bali tu twacheza na nchi tu, kazi yetu wekeza kwenye mambo ya kijinga mfano honga wasanii, honga wana siasa uchwara n.k .
Pesa za ndani wanakula mafisadi tu ,hatulipi ,kama kulipa basi tusingekua kwenye deni la namna hii, ccm mlaniwe milele