Haya umeumgwa mkonoRejea kichwa cha mada.
Ikiwa unampa pesa (kuhonga) kwa namna yoyote huna sababu ya kubembeleza kuombaomba sana.
Anacho takiwa kufanya ni kuheshimu matakwa yako direct order na sio kuanza kuuliza unakuja mbona hupokei simu..?NO!
Sina mengi naomba kuugwa mkono kwenye hili twende sawa..
One minite of silentKama kuna mwanaume bado hajapitia hii stage ya kutoa hela akitegemea atapendwa zaidi
Tuliopita tusimame kwa dakika moja tuwaombee Hawa ambao bado wairuke hii stage
Kuna Yule jamaa alikuwa anahonga na kutimizia binti kila kitu afu mwamba mmoja hivi boda boda
Mwingine amalizie hii story ili tupate content nzuri tumzindue jamaa
utapgiwa tukwanin
Yes, its a business.Rejea kichwa cha mada.
Ikiwa unampa pesa (kuhonga) kwa namna yoyote huna sababu ya kubembeleza kuombaomba sana.
Anacho takiwa kufanya ni kuheshimu matakwa yako direct order na sio kuanza kuuliza unakuja mbona hupokei simu..?NO!
Sina mengi naomba kuugwa mkono kwenye hili twende sawa..
Hii kitu ni mapacha, ukiona anakupenda hakupi hela jua kuna mwingine atakupa hela tofauti na hapo hamfiki mbali unless unamaanisha wale wanawake akina anti wanaolea vitoto vikina kusah wanakuja kutudanganya ni mapenzi.Pesa na mapenzi ni habari mbili tofauti
Hii kitu ni mapacha, ukiona anakupenda hakupi hela jua kuna mwingine atakupa hela tofauti na hapo hamfiki mbali unless unamaanisha wale wanawake akina anti wanaolea vitoto vikina kusah wanakuja kutudanganya ni mapenzi.
Mapenzi +pesa= life kimoja kikikosa= incomplete.
pesa ndefu isiyo ya maneno mengi km uko kichen pat haiitaji kubembeleza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaani unala pesa unaoga pesa una kula mipesa km hivi sio we mwenye chenchi za mia mbili utasubr sana.View attachment 2160784