Kama unampa pesa huna sababu ya kumbembeleza...

prumpeti

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
1,023
Reaction score
2,308
Rejea kichwa cha mada.

Ikiwa unampa pesa (kuhonga) kwa namna yoyote huna sababu ya kubembeleza kuombaomba sana.

Anacho takiwa kufanya ni kuheshimu matakwa yako direct order na sio kuanza kuuliza unakuja mbona hupokei simu..?NO!

Sina mengi naomba kuugwa mkono kwenye hili twende sawa..
 
Haya umeumgwa mkono
 
Kama kuna mwanaume bado hajapitia hii stage ya kutoa hela akitegemea atapendwa zaidi

Tuliopita tusimame kwa dakika moja tuwaombee Hawa ambao bado wairuke hii stage

Kuna Yule jamaa alikuwa anahonga na kutimizia binti kila kitu afu mwamba mmoja hivi boda boda

Mwingine amalizie hii story ili tupate content nzuri tumzindue jamaa
 
Pesa ndefu isiyo ya maneno mengi km uko kichen pat haiitaji kubembeleza😄😄😄😄 yaani unala pesa unaoga pesa una kula mipesa km hivi sio we mwenye chenchi za mia mbili utasubr sana.
FB_IMG_16449132786831238.jpg
 
Kama kuna mwanaume bado hajapitia hii stage ya kutoa hela akitegemea atapendwa zaidi

Tuliopita tusimame kwa dakika moja tuwaombee Hawa ambao bado wairuke hii stage

Kuna Yule jamaa alikuwa anahonga na kutimizia binti kila kitu afu mwamba mmoja hivi boda boda

Mwingine amalizie hii story ili tupate content nzuri tumzindue jamaa
One minite of silent
 
Ndio principle hyo kwanza akizingua unampunguza inakuwa umekwepa gharama kidogo
 
Hahhhah wanawake kwenye mapenzi wanavutiwa na vitu vya kijinga.Hapo kwa tabia kama yako anakutumia akitokea mwingine bora zaidi unapigwa chini.
 
Rejea kichwa cha mada.

Ikiwa unampa pesa (kuhonga) kwa namna yoyote huna sababu ya kubembeleza kuombaomba sana.

Anacho takiwa kufanya ni kuheshimu matakwa yako direct order na sio kuanza kuuliza unakuja mbona hupokei simu..?NO!

Sina mengi naomba kuugwa mkono kwenye hili twende sawa..
Yes, its a business.
 
Pesa na mapenzi ni habari mbili tofauti
Hii kitu ni mapacha, ukiona anakupenda hakupi hela jua kuna mwingine atakupa hela tofauti na hapo hamfiki mbali unless unamaanisha wale wanawake akina anti wanaolea vitoto vikina kusah wanakuja kutudanganya ni mapenzi.

Mapenzi +pesa= life kimoja kikikosa= incomplete.
 
Ukitanguliza pesa hakuna penzi hapo,ila likianza penzi kabla ya pesa mauaji ya ajabu ajabu yanapunguza kasi.

Ngono na pesa ndio mapacha ila penzi lina maana nyingi mno.

Mwenye pesa anapata ngono yoyote anayoitaka na anajaza michepuko ya kila aina ila atakosa penzi lenye upendo wa dhati so lonely

Back
Top Bottom