Kama unampango wa kujenga chukua huu ushauri

Sasa mfano Kwa majiko ya umeme na fridge plus Tv ukiachana na taa inahitajika kama bei gani?

Friji na TV siyo issue sana ,TV nyingi za kisasa hizi zina Power ndogo 45w-75w ,na pia siku hizi kuna friji,feni ,pasi za solar hivyo kwa bajeti ya 3-4m inapiga mzigo ,ili uweze kutumia kwa muda mrefu inahitaji uwe na Bank kubwa ya battery....Kwa Mfano kama 50N inaweza kuruna kwa 1hr kwa vitu vyako na kama utahitaji zirun kwa 12hrs means utaongeza 50N x 12 = 600N (Hapo utanunua 200N x 3) kwahiyo kuenjoy solar inategemea na mzigo wako.

Kwa Majiko ya umeme sijajua rating zake ila kurun hayo majiko lazima uwe na bank kubwa sana ya battery na pannel.
 
Generators iko juu maana utawahitaji wale majamaa waliosoma mechanical kuikagua na hata wasipokikuta kitu hakijaaribika jiandae kununua kifaa si chin ya 3m ndo mipigo yao na wana vipengele mwingine ni inspection tu ,anaditect tatizo mtengenezaji nae ni mwingine
Hivi maintenance cost ya solar na standby generator ipi ipo juu
 
Sawa ila sola kwa kupikia hebu tupe somo nipo gizani nifungue macho. Swala la maji nakuunga mkono ukiweza kuchimba maji hasa ukapata masafi na yasio na chumvi unakua na faida kubwa umwagiliaji na uhakika wa maji muda wote.
 
Lakini si inasemwa kwamba gharama huoengezeka kutegemea na umbali maji yalipo?(sina uhakika sana na hili)

Namaanisha hicho kiasi cha pesa hapo,yupo atakaechimba kwa mill 8 yupo wa 13mill still yupo atakaechimba kwa 4mill.

Kabisa na ndiyo maana nikamwambia kwa mita kuanzia 100 lazima uwe na alteast 8m.

Huyu anayesema 2m unapata maji na anakuwekea Pump ya 1.5HP? Sasa sijajua hayo maji yanapatika mita ngapi? Ukanda wa Kigamboni/chanika maji unaweza kuata kuanzia mita 50 hadi 90 ila kimara/bunju lazima uchumbi kuanzia 150 ukienda mikoa mingine kitu hadi 200m...Sasa huyu mtu anayesema unapata maji kwa 2m naona kama anawavuta watu tu waje kisha wakishaanza kuchimba ndiyo anaanza yake ya ongeza pesa.
 
Vizuri ๐Ÿ™
 
Namba 6 imeniokolea pesa mingi mnooo. Sio kujenga tu.
 
Solar ninayo shambani issue ni kila baada ya 2yrs unafanya replacement ya wiring na betri
 
Watanzania bhana umejaribu hicho unachokisema , usipotoshe jambo kama hujarifanyia utafiti mhusika anataja price yake hata ukimtajia location tu ye anauzoefu unasemaje ataanza kuwambia ongeza pesa yani mabos walio na heshima wamefanya nae kaz na hakuna malalamiko we ndo uone ni tapeli .
 
Hyo water pumb haitumii umeme mkubwa kwahyo unasave gharama umeme wa kusukuma maji had kwenye tank haziishi unit mbili alafu maji ya kisima unayatumia bira kuogopa biri ni mazuri kwa mtu mwenye shughuli za ujenzi ,kumwagilia bustani ,kufugia samaki kama umechimba bwawa utatapanya maji ujuavyo hayaishi wala kupungua na yana pressure Kali dawasco jaribu kufanya hivyo kama hujakutana na bir ya laki tatu watu saiz walio na matumiz makubwa ya maji wanatumia visima ya dawasco yamebaki kama ya kunywa tu
Bora kununua resrrv tank gharama ya kupandisha maji ni kubwa kuliko kulipia dawasco
 
 
Ukishindwa kuchimba kisima cha chini, jaribu kuchimba cha kuvuna maji ya mvua, ukiwa na lita 50,000 utayafurahia maisha.
 
Hivi panel ya 120W unaweza ukaibebesha betri za N ngapi jumla ili uwe na umeme wa uhakika wa kuwasha taa 12 hours plus TV masaa ya kutosha bila mawazo kwa kutumia inverter, au ukiongeza betri unaongeza na panel. Nina solar system ya Mobisol nataka niifanyie modification maana nikiangalia betri hapa naona kama limeisha na nimezima kabisa mtambo nataka nikimwita FUNDI acheck kama kuna tatizo lingine pia kama ni kununua betri basis tufanye modofication
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ