King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hivi panel ya 120W unaweza ukaibebesha betri za N ngapi jumla ili uwe na umeme wa uhakika wa kuwasha taa 12 hours plus TV masaa ya kutosha bila mawazo kwa kutumia inverter, au ukiongeza betri unaongeza na panel. Nina solar system ya Mobisol nataka niifanyie modification maana nikiangalia betri hapa naona kama limeisha na nimezima kabisa mtambo nataka nikimwita FUNDI acheck kama kuna tatizo lingine pia kama ni kununua betri basis tufanye modofication
Kwa kitaalam inatakiwa Panneli iwe na number kubwa kuliko namba za Battery means kama Panneli yako ni 120W basi inatakiwa battery namba yake iwe chini ya 120N(Ah) na pia tofauti ya number iwe atleast not below 50 ili panneli iweze kuchaji battery kwa uharaka. eg kama paneli ni 120W basi jitahidi uwe na Battery 70N(Ah).
Mkuu kitaalam ili ujue utaweza kurun muda gani ni kuchukua Size ya Battery(N - Ah) ugawanywa kwa load(in KWh).