Kama unampango wa kujenga chukua huu ushauri


Kwa kitaalam inatakiwa Panneli iwe na number kubwa kuliko namba za Battery means kama Panneli yako ni 120W basi inatakiwa battery namba yake iwe chini ya 120N(Ah) na pia tofauti ya number iwe atleast not below 50 ili panneli iweze kuchaji battery kwa uharaka. eg kama paneli ni 120W basi jitahidi uwe na Battery 70N(Ah).

Mkuu kitaalam ili ujue utaweza kurun muda gani ni kuchukua Size ya Battery(N - Ah) ugawanywa kwa load(in KWh).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…