Kama unao mtaji wa kuanzisha kilimo_biashara ila huna msimamizi/patner sahihi mimi nipo tayari, tuunganishe nguvu tusonge mbele.

Nafikiri watanzania wengi wangependa kuingia kwenye kilimo. Ila wengi hawana information za kutosha kuanza kilimo.
Ushauri wangu
1. Jaribu hata roughly kusema huo mtaji unaosema ni kuanzia shilingi ngapi.

2. Kama nilivyosema, wengi hatuna elimu ya kilimo, lakini vile vile wazungu wanasema Knowledge is Power. Nikimaanisha, unauwezo wa kuuza maalifa yako kwa kupitia mtandao wa freelancing kama wa www.ajiras.com wa bongo.

Ukiwa unasubiria mtu mwenye mtaji muingie naye ubiya, register katika tovuti ya www.ajiras.com weka ujuzi wako na bei zako. Watu waje kununua maarifa ikiwemo ushauri na pia usimamiza wa mashamba yao.

Unaweza toza kwa fixed amount au kwa masaa, siku, wiki na mwezi.

Siku hizi mpango mzima ni kujiajiri tu. Cheki page zao za instagram na facebook @ajirasdotcom
 
Shukrani kwa ushauri mkuu, kuhusu mtaji ni kiasi gani sijasema kwakuwa inategemea na aina ya zao/mazao.

Lingine ni kwamba kama mwenye mtaji atakuwa tayari kuwekeza kwa shamba na hajui gharama zikoje hilo halina shida kwani kupata taarifa sahihi kuanzia hatua ya kwanza hadi mwisho i.e kukodi shamba, kulima, mbegu, madawa, mbolea, kuvuna nk ni rahisi.
 
Nakushauri toa mfano hata wa zao moja. Ngoja nikwambie kitu kuhusu watanzania.
Tupo hivi, sijui ni uwoga au ustaarabu kuwa hatutaki kumsumbua mtu.

Wengi wetu, hatutokuja PM kuongea na wewe kuhusu kilimo kama hatujui angalau gharama za kuanzia. Siyo lazima ziwe exactly au zimechambuliwa vizuri.

Kuna mtu unakuta ana laki 7 ila anahisi hazitoshi, mwingine ana milioni 5 na yeye anahisi hazitoshi. Kupata roughly amount itasaidia yeye kupata moyo wa kukufuata chemba na kupata info zaidi.

Watanzania tunaogopa bei tusiyoijua na tunaogopa kuuliza. Na ndiyo maana kwenye ajiras.com kuweka bei ni lazima. Inampa mteja nguvu ya kukufuata na kudiscuss zaidi. Bila hivyo kila mtu anasoma na kuondoka. Angalia mifano hii
Microsoft%20New.jpeg
Best%20Forex.jpeg
IMG_20181123_114117_600.jpeg
 
Sasa Mkuu hujasema kama una taaluma ya kilimo ama la, maana ukisema mchango wako ni muda tu nakutofautishaje na Kijana yeyote wa kazi?
 
Habari za jioni wakuu,
Mimi naamini katika kilimo katika kuufikia uhuru wa kipato. Nimekuwa na ndoto ya kuwa miongoni mwa wakulima mwenye mafanikio makubwa.

Changamoto pekee inayonikabili mpaka naandika uzi huu ni kutokuwa na mtaji wa kuanzisha kilimo chenye tija (ekari nyingi angalau kuanzia 20+) hivyo mchango wangu utakuwa ni muda, nguvu, maarifa na uaminifu katika mradi.

Naamini wapo wenye nia kama yangu, wenye kuamini katika kilimo kama mimi na wenye mtaji wa kutosha kuanzisha kilimo ila hawana muda wala watu sahihi wa kukisimamia. Mimi ni mtu sahihi kwakuwa ninakipenda kilimo. Sasa basi kama tunavyojua Mungu hawezi kukupa kila kitu ili unachokosa ukipate kwa wenzako, mimi muda wa kutosha ninao kuanzia mwanzo wa mchakato hadi mwisho.

Nipo Dar, nipo tayari kwenda mkoa wowote kulingana na mahitaji ya kilimo husika.

Makubaliano na mambo mengine mengi muhimu tutayajadili kwa kadri Mungu atakavyotubariki.

Kwa aliye tayari tuwasiliane tafadhali.

Natanguliza shukrani zangu.
Wazo zuri ila tu unajiwekea kipo
Ingamizi, yani unatsks mtu awe na heks kuanzia 20? Uzoefu umeupata wapi au wewe ni bwana shamba.Anza na angalau heka moja,Kisha utakuwa unaongeza taratibu.
 
Habari za jioni wakuu,
Mimi naamini katika kilimo katika kuufikia uhuru wa kipato. Nimekuwa na ndoto ya kuwa miongoni mwa wakulima mwenye mafanikio makubwa.

Changamoto pekee inayonikabili mpaka naandika uzi huu ni kutokuwa na mtaji wa kuanzisha kilimo chenye tija (ekari nyingi angalau kuanzia 20+) hivyo mchango wangu utakuwa ni muda, nguvu, maarifa na uaminifu katika mradi.

Naamini wapo wenye nia kama yangu, wenye kuamini katika kilimo kama mimi na wenye mtaji wa kutosha kuanzisha kilimo ila hawana muda wala watu sahihi wa kukisimamia. Mimi ni mtu sahihi kwakuwa ninakipenda kilimo. Sasa basi kama tunavyojua Mungu hawezi kukupa kila kitu ili unachokosa ukipate kwa wenzako, mimi muda wa kutosha ninao kuanzia mwanzo wa mchakato hadi mwisho.

Nipo Dar, nipo tayari kwenda mkoa wowote kulingana na mahitaji ya kilimo husika.

Makubaliano na mambo mengine mengi muhimu tutayajadili kwa kadri Mungu atakavyotubariki.

Kwa aliye tayari tuwasiliane tafadhali.

Natanguliza shukrani zangu.
Mi ninarobo tatu heka, eneo lipo chanika, maji hamna ila jirani ana kisima, sasa kama upo tayari njoo tuanzishe bustani ya mboga mboga.Nimejifunza himu JF kuna vertical garderning, ambayo unajenga kichanja kwenda juu.kama unavyoona picha hapo chini.Kwa bustani kama hii inaweza kuwa heka tatu na zaidi za chini.Kipindi hiki cha mvua maji sio tatizo, Eneo ni pori ndugu zangu ni wavivu hawataki kulilima, mimi nipo mkoani na huwa nawatumia hela ya kulisafisha kila mwaka.Tatizo kubwa ni UAMINIFU, je utakuw muaminifu kiasi gani? Nimewahi kulizwa na watu 2 niliiwaamini, je wewe utakuwa tofauti na wale Shamba lipo hivi ninavyoingea ni pori tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20180704-010455.jpg
    Screenshot_20180704-010455.jpg
    27.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_20180704-010455.jpg
    Screenshot_20180704-010455.jpg
    27.6 KB · Views: 23
Back
Top Bottom