Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

Asante ..... umeeleweka ila kuweka fedha zote kwenye biashara tena kipindi hiki yataka moyo ila mimi nitaanza kujifunza baada ya awamu hii kuisha
 
Mkuu inabidi ulute nyuzi zingine ambazo zinafundisha maswala ya ujasriamali ili watu wajifunze kabla ya kuingia kwenye biashara.
Inaonekana una mawazo mazuri
 
You have made my day
 
Biashara 400 zinakufa kila mwezi na 400 zinazaliwa
Ni kuwa na dedication tu na back-up ya kujitosheleza
 
Kuna watu wanajua sana kuwashauri wenzao kuhusu biashara. Ye mwenyewe anakula kwa mshukaji....

Anaandika kitabu kizuri chenye cha "How to make money" halafu anaomba pesa kwa wengine..
 
Biashara ni mchakato....hebu jiulize waliojenga viwanda mfano cement n.k unadhani baada ya muda gani wataanza kupata faida?unaweza kuta baada ya miaka 5,10 n.k kwa hiyo cha muhimu ni uvumilivu.
 
Tushirikishe biashara yako tujifunze sorry
Mawazo mazuri sana,tuyafanyie kazi ili tujikwamue kiuchumi...binafsi yamenipa faraja kwasababu hiyo safari niliianza tangu mwaka jana, namshukuru Allah ( S.W ) nimesahau kusubiri mshahara wa mwisho wa mwezi.
biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…