Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

Mtoa mada umesema ukweli na umetoa somo. maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge.

Hapo unajifunza kama ni baridi au moto. sio mtu unaambiwa tu tikiti linalipa unakurupuka kisha ukipata hasara unakimbia na kulaumu. unapopata hasara kuna kimeenda wrong ambacho ni cha kusahihisha. ingekuwa matikiti ni hasara tu bila shaka yangepotea na tusingeyaona tena!

Muhimu kila kitu kina hasara na kina faida pia kina hasara muhimu ni kujifunza.

Asante mkuu.

Kuna mijitu inafikiri always negatively na hupenda kukatisha tamaa.

Hivi karibuni nimeanza kilimo cha bustani kule Ruvu. nikaanza na kilimo cha mahindi ya kuchoma. mtaalamu mmoja akaniambia ukilima heka moja kitaalamu unaweza kupata milioni 2.5 hadi 3. Niliishia kupata laki 8 lakini ukweli nilijifunza sana kwani kuna makaosa na changamoto. ni kweli kabisa inawezekana kupata 2.5 hadi 3 mil kwa eka lakini with knowlege and hard work.

Nimevutika sana kuwa kilimo kinalipa saanaaa lakini ukiwa na nia ya dhati. wengi wanabeza lakini mafaniko hayaji haraka. hata miongoni mwa familia watakubeza lakini unakaza buti.

With time and hard work unaweza kuzungumzia mamilioni kwenye kilimo na ajira binafsi na si katika hii mishahara!
mnaongea vizuri sana hilo la kuita wenzenu mijitu muache,au mkome sio ustaarabu jua kwamba hawajui wafundisheni.
 
Angetoa tuu kama onyo sio kwa hasira namna hiyo.
Wewe kipi hapo hujaelewa Wakati Uzi unajieleza kabisa, au ndio ninyi mnasoma line mbili tatu then mnakimbilia kucoment, shwain,wacha ukurupukaji,unaandika mbovu kwakutaka sifa za kijinga
 
Kama biahara inakupasua Kichwa usilazimishe sana utaambulia madeni yasiyolipika.
 
Hili tangazo ni kwa wale ambao bado hajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha.

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker.

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
aisee nimepata motivation sasa. nimekuwa nikitamani sana kuanzisha blog yangu halafu naingiwa na uoga. mwaka huu lazima nianzishe blog yangu
 
Je kuna kiingilio chochote,ama pesa ni kiasi gani kuwejeza
 
Sikia.... BAKI NA HELA ZAKO

Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Lete Raha vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk.

Akaachana nayo. Afu wewe eti unataka ufundishwe biashara ambayo hutaki kupoteza hela. Kaa na hela zako tu kwa kweli.

Hivi unadhani Novida imeenda wapi. Kama Coca Cola wanakosa soko la bidhaa yao wewe je?

Okay, tufanye hivi, ule ukumbi wa Sinema Mwenge ITV ulikufa kifo cha fasta. Competition.

Kuna matajiri wengi tu walipoteza sana pesa. Mabasi ya Scandinavia yapo tena? Juzi tu Landmark Hotel ikawa Hostel.

Dar Village hapo Rose Garden Kijitonyama haijajengwa hadi leo. Mradi wa mabilioni uliingia mdudu miaka zaidi ya 8 sasa. Wewe unataka utakachoanza nacho kisife. Hela zako hutaki zipotee. Aisee you're not an entrepreneur. Kaa tu na hela zako. Ndo maana unasubiri ukiambiwa aisee biashara ya Matikiti inalipa hatari huyo umo.

Hakuna biashara isiyolipa. Ila kuna akili zisizo za kibiashara ambazo lazima kuzibadili zijue biashara faida na hasara ni kawaida kabisa. Wanasema SOMETIMES YOU WIN AND SOMETIMES YOU LEARN.

Sasa wewe hutaki kulearn utafikaje kwenye mafanikio kibiashara?

Trump mwenyewe alifilisika kabisa. NIL. Zero. Rock bottom. Licha ya kuanza kwa mtaji mkubwa.

If you're afraid to lose money NEVER INVEST. Baki na hela zako.
Without pain no success, how does pain comes without lost? It is all about confidence! No options! Believe it!
 
mleta mada mbona kama umerushia mtu dongo baada ya 'kumseti' alafu akachomoka 😀

#BitCoin
 
napenda saana ujasiriamali hasa kabla sijaajiriwa ila baada ya kuajiriwa na majukumu ya kifamilia kiukweli nimekua muoga kama kunguru...........
ila shukrani kwakunitia moyo.
 
Sikia.... BAKI NA HELA ZAKO

Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Lete Raha vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk.

Akaachana nayo. Afu wewe eti unataka ufundishwe biashara ambayo hutaki kupoteza hela. Kaa na hela zako tu kwa kweli.

Hivi unadhani Novida imeenda wapi. Kama Coca Cola wanakosa soko la bidhaa yao wewe je?

Okay, tufanye hivi, ule ukumbi wa Sinema Mwenge ITV ulikufa kifo cha fasta. Competition.

Kuna matajiri wengi tu walipoteza sana pesa. Mabasi ya Scandinavia yapo tena? Juzi tu Landmark Hotel ikawa Hostel.

Dar Village hapo Rose Garden Kijitonyama haijajengwa hadi leo. Mradi wa mabilioni uliingia mdudu miaka zaidi ya 8 sasa. Wewe unataka utakachoanza nacho kisife. Hela zako hutaki zipotee. Aisee you're not an entrepreneur. Kaa tu na hela zako. Ndo maana unasubiri ukiambiwa aisee biashara ya Matikiti inalipa hatari huyo umo.

Hakuna biashara isiyolipa. Ila kuna akili zisizo za kibiashara ambazo lazima kuzibadili zijue biashara faida na hasara ni kawaida kabisa. Wanasema SOMETIMES YOU WIN AND SOMETIMES YOU LEARN.

Sasa wewe hutaki kulearn utafikaje kwenye mafanikio kibiashara?

Trump mwenyewe alifilisika kabisa. NIL. Zero. Rock bottom. Licha ya kuanza kwa mtaji mkubwa.
Exactly Mzee unahofia kupotez mtaji baking na hela zako

Sikia...

Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa Alasiri. Halikuleta faida. Lete Raha vile vile. Ushindani wa magazeti ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk.

Akaachana nayo. Halafu wewe eti unataka ufundishwe biashara ambayo hutaki kupoteza hela. Kaa na hela zako tu kwa kweli.

Hivi unadhani Novida imeenda wapi. Kama Coca Cola wanakosa soko la bidhaa yao wewe je?
Okay, tufanye hivi, ule ukumbi wa sinema Mwenge ITV ulikufa kifo cha fasta. Competition.

Kuna matajiri wengi tu walipoteza sana pesa. Mabasi ya Scandinavia yapo tena? Juzi tu Landmark Hotel ikawa Hostel.

Dar Village hapo Rose Garden Kijitonyama haijajengwa hadi leo. Mradi wa mabilioni uliingia mdudu miaka zaidi ya 8 sasa.

Wewe unataka utakachoanza nacho kisife. Hela zako hutaki zipotee. Aisee you're not an entrepreneur. Kaa tu na hela zako.

Ndo maana unasubiri ukiambiwa aisee biashara ya matikiti inalipa hatari huyo umo. Hakuna biashara isiyolipa.

Ila kuna akili zisizo za kibiashara ambazo lazima kuzibadili zijue biashara faida na hasara ni kawaida kabisa.

Wanasema SOMETIMES YOU WIN AND SOMETIMES YOU LEARN. Sasa wewe hutaki kulearn utafikaje kwenye mafanikio kibiashara?

Trump mwenyewe alifilisika kabisa. Nil. Zero. Rock bottom. Licha ya kuanza kwa mtaji mkubwa.

Back
Top Bottom