GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tungekosa hata hilo Bao Moja ungekuja na hizi hizi Pumba zako tena?Me simba lakini leo walau tulitakiwa tushinde 3 bila kule huenda tukaoga hamsa.
Kichwa chako ni mtofuMnaacha Kuwapongeza Simba SC kwa Kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na Kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza Kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho.
Mkiambiwa hamna Akili mnanuna!!!
3 halafu wao wako wapi? Mnafikri mpira stage hii ya robo fainali ni kama kunywa vijikombe vya kahawa? Tambua pia kuwa wale ni Champions of Africa tena ni timu ya pili kwa ubora katika top tenMe simba lakini leo walau tulitakiwa tushinde 3 bila kule huenda tukaoga hamsa.
Ukifatilia tabiri zake huwa zinafanikiwa. Ngoja tuone na hili.Kuna mchungaji katabili JAMAA- watafungwa nje ndani na WANAIGERIA sijui katabir Kweli ngoja tuone kwanza kama itakuwa kweli
Tungekosa bao moja hali ingekuwa mbaya zaidi wale jamaa wanakuwa wazuri sana kwao.Tungekosa hata hilo Bao Moja ungekuja na hizi hizi Pumba zako tena?
Hovyooooooo....!!!!!!
Hopeless.Walipaswa watafute walau goli 2 goli moja unashinda kwako and you expect wonder
Yeah I'm back in full swing Comrade.Purely Talented on AIR🤣
Amini / Muamini huyo aliyetabiri Oky?Kuna mchungaji katabili JAMAA- watafungwa nje ndani na WANAIGERIA sijui katabir Kweli ngoja tuone kwanza kama itakuwa kweli
🙏🙏Yeah I'm back in full swing Comrade.
Amini / Muamini huyo aliyetabiri Oky?
Nakubaliana nawe tena kwa 100%Labda huyo ni mmoja wa moderators
Pole sana Mkuu naona kweli Mods hawako fair watu wanakuchokonoa makusudi halafu na wewe ndio unayekuwa muhanga. Yaani wewe na UMUGHAKA huwa mnaonewa sana na ModsNakubaliana nawe tena kwa 100%
Zile goli 3 mpaka 4 ulizosema wanapigwa waarabu baada ya kuroga zimeyeyukia wapi? Mlichofanikiwa ni kuifanya miguu yao iwe mizito kufanya maamuzi na bado mkaambulia kigoli kimoja sasa nendeni kwao mkapelekewe moto wa jehanamu!Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho!
Mkiambiwa hamna akili mnanuna!