Kama unaona Simba SC imefanya vibaya leo mkitoka kwa Wanaijeria ombeni nao Mechi ya Kirafiki mkoge goli 10

Kama unaona Simba SC imefanya vibaya leo mkitoka kwa Wanaijeria ombeni nao Mechi ya Kirafiki mkoge goli 10

Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho!

Mkiambiwa hamna akili mnanuna!
Sasa mechi ya kirafiki hata ushinde goli 15 zina faida gani?
 
3 halafu wao wako wapi? Mnafikri mpira stage hii ya robo fainali ni kama kunywa vijikombe vya kahawa? Tambua pia kuwa wale ni Champions of Africa tena ni timu ya pili kwa ubora katika top ten
Pamoja na hayo simba ndio mabingwa wa africa wa wakati wote tukubali tukatae jana walicheza chini ya kiwango.
 
Nani atawapa hata hiyo mechi ya kirafiki!? Wydad hawana muda wa kupoteza na timu ya matopeni
 
Back
Top Bottom